Recent content by Mabolio Malamsha

  1. Mabolio Malamsha

    Polepole anamshangaa Nyalandu kuondoka CCM inayofuata itikadi ya Ujamaa purely na kujiunga chama kisicho na itikadi

    Bomoa bomoa inapita mitahani watu wanashangilia watu kuweni na ubinadamu wa kawaida tu kuwaonea wengine huruma kama vile wewe ndiyo unafanyiwa hayo ukiunga mkono hayo ccm maana yake unakubaliana na yanayofanyika.
  2. Mabolio Malamsha

    Mzungu kafaidi ya duniani weusi tutafaidi mbinguni

    Acha kufanya kazi upalilie umaskini ili uende mbinguni
  3. Mabolio Malamsha

    Kwanini rambirambi igeuzwe chanzo cha mapato ya serikali badala ya kodi??

    Ndiyo maana jamaa hakwenda Arusha kutoa pole kwa kuwa angewaonea huruma wakati alijipanga kupigia hapo hela
  4. Mabolio Malamsha

    Wizi Tengeru jijini Arusha

    Ukiwakata mikono si watakuwa wanatembea na mavi watachambaje? Watafutie adhabu nyingine
  5. Mabolio Malamsha

    Athari za mvua Lushoto

    Mapeazi tu mnataka lami pili njia ya lushoto mtae haitokezi inafika mwisho , poleni nawashauri muhame milimani huko otesheni miti
  6. Mabolio Malamsha

    Mbowe: Madaktari msiende Kenya, Rais anacheza na maisha yenu, Kenya sio salama kwa sasa

    Na kwa kipindi hiki nchini kenya wanaanza kampeni za uchaguzi mkuu mwezi agost na wenzetu wanakuwa na vurugu za ukweli wote wa naingia front. Kwa hiyo alichokiongea Mwenyekiti wa CHADEMA kina mashiko
  7. Mabolio Malamsha

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Namshauri manji akampigie mkulu magoti yaishe vinginevyo atakimbia nchi kumcha fursa
  8. Mabolio Malamsha

    Wakati akihitajika Leo Polisi, Mbowe aonekana Dodoma na Mabalozi wa Ulaya

    Kondakta hana uwezo kusitisha majukumu ya mbowe labda dereva angemwita tena siyo kupitia media
  9. Mabolio Malamsha

    Kuanzia leo sili tena kuku, nimekuta sindano kwenye mfupa wa kuku

    wewe ulikuwa ule nyama ya kuku mifupa umwachie mbwa vipi manyoya
  10. Mabolio Malamsha

    Arusha na Kilimanjaro yatajwa kama mikoa ya Tanzania inayoongoza kwa life expectancy

    wale watu waliotoka kwenye hule mlima mrefu wamehamia chuga kule kwenye mlima aslimia kubwa ni wazee wako huko na walikoahamia ni Arusha kwa hiyo ni sawa na Juma kumwita Bwana Juma kwa hiyo nitaifa la Mungu.Mungu amewapa vyote
Back
Top Bottom