Athari za mvua Lushoto

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,751
IMG-20170509-WA0048.jpg
IMG-20170509-WA0046.jpg
IMG-20170509-WA0047.jpg
IMG-20170509-WA0042.jpg
IMG-20170509-WA0036.jpg
IMG-20170509-WA0045.jpg
 
Apo nikiwa napandisha zangu bumbuli noah aitak kutupisha anaogopa ataanguka
Hii njia inamaana imegoma kuwekwa lami?!!! Mbona miaka mingi hivyo, hata kama serikali haina hela kwa ajili ya hio njia lakini, something needs to be done.
 
Kama naiona ile njia ya kule kwetu Bumbuli kutoka soni, na isivyo na lami sasa since enzi za mkoloni...ni kwa neema tu.
Mkuu niliishia tu hapo soni, duuhhh hiyo barabara kutoka mombo ni balaa
 
Mapeazi tu mnataka lami pili njia ya lushoto mtae haitokezi inafika mwisho , poleni nawashauri muhame milimani huko otesheni miti
 
Hii barabara waliitengeneza wakati fulani toka Mombo mpaka Soni kuanzia Soni kwenda Lushoto ilikuwa nzuri kiasi chake. Lushoto kuzuri sana barabara tu ndio shida.
 
Hii barabara waliitengeneza wakati fulani toka Mombo mpaka Soni kuanzia Soni kwenda Lushoto ilikuwa nzuri kiasi chake. Lushoto kuzuri sana barabara tu ndio shida.
Hio lami iliwekwa na JBG
 
Inamaana hao wanakijiji wameshindwa hata kupanga mawe barabarani wanasubiri wadondoke na gari ili tutangaze msiba wa taifa
 
Back
Top Bottom