mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Naona mnasifia wezi
Panaitwa kwa mafundi simu hapo.Panaitwa "kwa Benson"
Kazi ya police ni ulinzi wa raia na mali zao, siyo kazi ya mbunge.Wadau wa JF habari za jioni. Nimetoka Masama Moshi kwenye mazishi ya Mama EvaGrace Emmanuel Lazaro Mwasha mke wa Askofu mstaafu wa kanisa la TAG. lakini ajabu tulivyofika TENGERU basi zima tumetangaziwa kuwa makini na wezi wa simu na vitu vingine kwa abiria. Hii imenitokea mara nyingi sana nikisikia Tahadhari hii. Nyie watu wa TENGERU badilikeni kwa kweli. Mkuu wa wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti na mbunge Joshua Nassary je hamuwezi kufanya kitu kuondoa Sifa hii mbaya kwa eneo hili, jiji la Arusha na Tanzania kwa ujumla? Maana hata watalii wengi "wamelizwa" Mali zao hapa.
Nawasilisha!
Haaaa nilitaka nije bora nifute safari tuuu kama ndo ivyoMwaka juzi mmoja alikwapua simu yangu apo tengeru ila nilikua faster nikaiwahi na Mimi nikakwapua .alivyonadharau akaondoka uku anacheka.cha kushangaza watu waliopo karibu wanamuangalia tu hakuna anayechukua hatua yeyote.nilijuta kwa nini mkono wake sikuushika.angeimba aleluya
Ukiwakata mikono si watakuwa wanatembea na mavi watachambaje? Watafutie adhabu nyingine
tengeru ata ukipandisha kioo wanavunja wanakwapua simu.
ule wizi umezidi na kibaka anaiba alafu hakimbii.
polisi fanyeni kazi acheni kazi za kuwapa lift waandishi wa habari.



lift ya kwenda wap
Jombaa siwezi ficha niko Arusha but sio chalii ya Arusha bablai
Mkuu mambo!Basi yechu mkali dingiii![]()
![]()
![]()
Poa mkuuHaina noma bablai
Mkuu embu angalia wanaume wa darWanaume wa mkoani mnatia aibu
Yani watu 30+ mnamuogopa mwizi mmoja
Wameru wana LAANA. Usithubutu kuanzisha mahusiano nao.Hahahaaa.....Hawa wanaume wa Sing'isi wakiingia shamba la anaeitwa mwekezaji ni dakika sifuri unaona vifusi na visiki
Nimekaa Tengeru kiasi fulani na ni jamaa fulani wakora kuliko maelezo....wazee wa mapanga na visu
Umeenda mbali sana mkuu, mimi sio mmeru lkn historia ya wameru wa sing'isi naijua sana, hicho kitongoji chao sio pure Meru bali ni Hybrid ya makabila mengi hadi kaburu.Wameru wana LAANA. Usithubutu kuanzisha mahusiano nao.