Recent content by mabina

  1. mabina

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Madame nzuri sana hii mama yangu. Kwanza mie binafsi nikupongeze kwa weledi. Natamani nizungumze na wewe private katika kushauriana. Wababa kwa Karne hii tunapita mambo mengi sana likija swala la ndoa na matunzo ya watoto. Taasisi nyingi za serikali zimegeuza jicho kwa gender ya mwanamke bila...
  2. mabina

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nazungushwa kupata Mafao baada ya Mkataba wa kazi kumalizika, naambiwa niliacha kazi

    Watanzania tuamke. Watunga sheria za mafao haziwagusi. Hata kama umeamua kutoendelea na ajira. Mafao yangu yapo/yako yapo maana michango yako iko hai. Tuna haki ya kudai marekebisho ya sheria na kanuni. Haiingii akilini kuacha kazi lakini mafao yangu ninyimwe. Mfano. Mbunge baada ya miaka...
  3. mabina

    JamiiForums Tanzania Unarudi Toka Kazini Unamkuta Mkeo anampiga Mama yako Mzazi.Je utafanya kitu gani kwa mkeo?

    Mama mzazi ni mmoja tu hapa Duniani.
  4. mabina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    Kununua chakula na kilichoongelewa vinamahusiano? Wewe na mshahara wako mzuri lakini kwa MANGO unaenda kukopa
  5. mabina

    JamiiForums Tanzania Kinachowafanya mlie kwenye msiba ni nini kama sio unafiki na kujidanganya?

    Kaka ulishawahi kufiwa? Basi kataza na mtoto mdogo asilie wakati wa kuzaliwa
  6. mabina

    JamiiForums Tanzania Wenzangu hali si hali nimekwama

    Kama huelewi basi usimkatishe tamaa anaelia shida. Kama huwezi msaidia, vyema kunyamaza kuliko kumkatisha tamaa
  7. mabina

    JamiiForums Tanzania Wenzangu hali si hali nimekwama

    Unakielewa anachokis3ma. Au ndio nyie mliookoka mkasahau kama haya mambo yapo?
  8. mabina

    JamiiForums Tanzania Wake zetu Shida ni nini?

    Poleee Shit happens Soma positive comments na zichukulie kwa uzito Wanawake wanaharibu sana future kwenye ndoa
  9. mabina

    JamiiForums Tanzania Border ya Tunduma mtuambie mna maana gani, kudai cheti cha covid 19 wakati Tanzania haina covid 19?

    Inakusaidia nini? Why iwe border Moja tu na si zote? Think tank brother
  10. mabina

    JamiiForums Tanzania Tujuzane ukweli kuhusu gari kijerumani, hasa hasa AUDI

    Ajali kama ajali zingine. Kuna Gari zilikuwa zikiongoza kuwaka moto kama Subraru?
  11. mabina

    JamiiForums Tanzania Namna gani ya kugundua na kumgundua mdukuzi wa simu/smartphone hackers

    Okay Safi sana mkuu
Back
Top Bottom