Baada ya kuona minyukano ya kila namna na kila kona tukishambulia waasisi wa muungano na mitizamo yao ya serikali 2 huku wengine wakienda mbali na kumsema karume kuwa aliburuzwa na Nyerere huku wakina Ally Salehe wa Zanzibar wakimshsmbulia Rais Kikwete nashauri haya yafanyike.
1.Rais avunje...
kwahiyo yale yote kumbe ni fake,majibu fake,picha fake ila waendelee tuu si ndio?kwakuwa leo anasifiwa jee siku zikitumika vibaya hizo akaunti?
kwangu hao wanaozitumia wana ruhusa na maelekezo maalum
Umeeleweka sana dr lakini kwangu ungeeleweka zaidi ungeweka wazi majina ya kila kiongozi namna alivyoshiriki either kutatua au kuzidisha huu mgogoro ili wale wale wanachama unaowalaumu wabaki na lawama zao kwa kuwa bado watakuwa wanashabikia viongozi pamoja na kujua udhaifu wao.Huna cha kupoteza
Mkuu NasDaz naamini hawa kina Falesh na Hosea hawana Muda,wakati vuguvugu hili la mawaziri halijapoa turudi ktk halmashauri zote zilizofanya ufisadi wasimamishwe kazi na iundwe mahakama Maalum ya mafisadi so kila alietajwa na ripoti ya CAG akajibu mashtaka yake kwa ushahidi wa CAG bila kujali ni...
Jana Deo Filikunjombe na Zitto Kabwe walinong'onezana waombe muongozo wa spika wakawa wanaambiana nianze mm au wewe na kweli wote walisimama kumzungumzia mkulo so Deo sio mjinga aseme mneno mazito yasiyo na ushahidi,pili ikumbukwe Deo ni makamu mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya mashirika ya Umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.