Recent content by Mabele Maduhu

  1. M

    MIE NI Form 2 NILIYEPATA ALAMA 20 LAKINI NIMEINGIA F3

    Jamani napenda kujitokeza hadharani tena peupee na kukiri mbele yenu kabisa kuwa,mimi ni mwanafunzi wa Kidato cha Tatu niliyefaulu kwa Mbinde lakn mwaka huu umekuwa wa neema kwangu.Nimeingia F3 kwa alama ya F lakini kichwani hazimo kabisa.JE NITAKAPOFIKA F4 NITAFAULU KWELI?
  2. M

    NANI MZIGO KATI YA Dr.SILAA NA PINDA NDANI YA NCHI?

    Hatugombani ndg,nahtaji majibu.UKO NJE YA SWALI.
  3. M

    NANI MZIGO KATI YA Dr.SILAA NA PINDA NDANI YA NCHI?

    Naomba nipewe jibu.Kila siku tunazungumzia mizigo mizigo.Je,kati ya hao wawili mzigo wa nchi ni nani?
  4. M

    Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    Serikali inawadharirisha walimu kwa kuwabeba wanafunzi wa kidato cha pili 2013 waliofeli.Taifa hili linaelekea kuzimu.Ndiyo maana Mawaziri wetu hawajui hata Neno TANZANIA LIMETOKANA NA NINI.Kamwe nchi yenye mazoba haitaendelea.
  5. M

    Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    Serikali imeagiza wanafunzi waliofanya Mtihani wa Kidato cha Pili mwaka 2013 na kushindwa,waendelee na masomo yao yaani hawatakariri wapewe Muda maalum wa kunolewa [REMIDIAL CLASS].
  6. M

    Ajira za ualimu ni mwezi wa pili au tatu tarehe 30.

    Waziri wa TAMISEMI ALITANGAZA MWAKA JANA.MSIHOFU MTAAJIRIWA TU.
  7. M

    Mahakama kuu yaahirisha kutoa uamuzi dhidi ya Zitto

    Mahakama kuu ya tanzania imeahirisha kutoa hukumu ya pingamizi lililowekwa na zitto hadi kesho mchana.
  8. M

    Dr.kingwangala amefanya maandamano na wananchi wake kupinga kutafunwa fedha bil.2.3

    Mbunge wa Nzega Dr.Kingwangala leo amefanya maandamano makubwa sana na wananchi wa Jimbo lake kupinga kutafunwa kwa sh bil 2.3 na madiwani wa C.C.M
  9. M

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Tayari mahakama imeshaanza kusikiliza kesi ya Pingamizi.Mapaparazi tupo kwenye eneo la Tukio.Tutaendelea kuwajuza zaidi yanayojili.
  10. M

    Ni kina nani hasa wajumbe ambao wanaounda Baraza Kuu la CHADEMA?

    JANA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA ILITOA MAAMUZI YA KUIOMBA KAMATI KUU ISIJADILI SWALA LA ZITTO HADI BARAZA KUU LA CDM LITAKAPOSIKILIZA RUFAA YAKE.JE HILO BARAZA KUU LINA MENO GANI MAKALI au NGUVU GANI KWA ZITTO.
  11. M

    CHADEMA Bunda.

    Kama wamekosa Mgombea wamweke hata Mganga wa kienyeji coz wanapenda kutumia waganga wa Kienyeji.
  12. M

    Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    Chama Cha wauza unga hv sasa kimeshikwa pabaya na CDM.
  13. M

    Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    Hebu tuwekeni wazi.Je,mtu anayehongwa na wengine ili kukiua chama,kwa nini tusimwite Msaliti na Mnafiki?
Back
Top Bottom