Mabele Maduhu
Member
- Dec 31, 2013
- 20
- 4
Kama wamekosa Mgombea wamweke hata Mganga wa kienyeji coz wanapenda kutumia waganga wa Kienyeji.
wewe ni nani katika ccm tupia picha basi kama kweli.
pendekeza kaburi liwe wapi?
Kamanda yatendee haki maji yangu pendwa na ninakunywa muda huu, ccm haifai kuthaminishwa hata na kopo la maji ya kilimanjaro, labda ccm na jiwe. Tunashukuru kwa operation zao za kutokomeza raia maana watanzania na hasa wa vijijini wagumu kuelewa elimu ya uraia, zaidi zaidi mpaka waguswe moja kwa moja na ma-operetion ya kuwatokomeza ndio wanaelewa ccm ni kaburu wa aina gani............
Kama wamekosa Mgombea wamweke hata Mganga wa kienyeji coz wanapenda kutumia waganga wa Kienyeji.
teh teh, lakini maccm na kikwete wanataka mbili, hayo ndo majanga!Ha! Ha! Ha! Ha! Asilimia 64 wanataka serikali 3 !
Picha ya kukuonyesha hawajapata mgombea inapigwaje?
Yaani hata Wasira hawezi kugombea?
Kuna dalili za wazi CHADEMA Bunda kupita bila kupingwa katika uchaguzi mdogo kata Nyasura nasema hivyo kuwa sababu nipo Bunda kwa sasa hivi na CCM hawajapata mgombea hata vyama vingine navyo pia.
hii nikuwa mjibu wa kamati ya siasa ccm wilaya ya Bunda.
umepatiaHa ha ha safi sana, wapi hiyo nadhani ni kata ya Sombetini...............