Recent content by Mabeberu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa kuwa demokrasia inapigwa vita Tanzania

    acha kutajtaja majina ya watu hovyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

    Hivi Mkuu huyu VoiceOfReason yupo kweli? since 2011 alitukacha hapa
  3. M

    JamiiForums Tanzania LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

    Hii ni Enzi hizo baba Milioni tano leo ni nyingi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

    Hakuna Maumivu yoyote
  5. M

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

    Hii Corona mbona imekua Janga la Dunia. kariakoo wenyewe wanasema Bidhaa kutoka china zinaelekea kuisha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

    Jana usiku nimepata choo vizuri tu choo wala sio kigumu. leo ndio nashangaa kinyesi kina Damu nyingi sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

    Ndugu wanajamvi nimeamka asubuhi kujisaidia kwa mshangao mkubwa kinyesi kimejaa damu ilihali najiona sina tatizo au maumivu ya aina yoyote. Wajuvi wa magonjwa na tiba naombeni kujua tatizo linaweza kuwa nini? Mimi hunywa sana pombe kali.
  8. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine ameshtakiwa akidaiwa kuwa na nia ya kumkera Rais Yoweri Museveni

    Kampala (AFP) - A Ugandan court on Tuesday charged pop star turned leading opposition figure Bobi Wine with "annoying" President Yoweri Museveni, his lawyer told AFP. The singer, whose real name is Robert Kyagulanyi, appeared in court on a prior treason charge after he and other opposition...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyotapeliwa hapa JF kijinga

    Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando. Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA. Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,. Jamaa kanitumia link...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Membe

    Nimesikiliza Press ya familia ya bwana Allan aliyedaiwa kutekwa na kuachiwa hapo jana, Jina la bwanaBernard Membe limetajwa na Shkrani nyingi kwake kwa kufanikisha kuachiwa kwa huyu bwana. Ni ukweli usiyepinginga Bwana membe ni Mbobezi kwenye masuala mazima ya Ujasusi, Inawezekana Membe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania WALIOSHUHUDIA VIFO VINAVYOSABABISHWA NA DENGUE TUKUTANE HAPA

    Huu ugonjwa ni hatari sana hata kama hakuna vifu watanzania tuchukue tahadhari. kama namna ya kujizuia ipo lets go for it
Back
Top Bottom