Kakaa waarabu wamebarikiwa utajiri ila kikwetukwetu benz ni expensive bwana shida sio kununua shida ni kuimantain, no cheap spares no cheap servis au utaipaki mazima
Kama wewe ni jobless huna hata dem na bangi huvuti utakua confused zaidi..pia kama wewe ni tajiri na una kila kitu then unahitaji wisdom kutoka kwa mmea.
Kuna kipindi katika maisha nilikua homeless alafu nchi za watu baridi kama lote kitu cha bange kilinipitisha kipindi kigumu sana maana watu walikua wanakufa na baridi lakini muhuni nikisha piga vitu vyangu napoa freshi...nitaiheshimu bangi forever japo sijuhizi stumii kulingana na mazingira
Wanaume wachache sana wenye hizo mambo za kuchukia ndugu wa ukweni tena mwanafunzi atleast angekua hana ramani yupoyupo tu, mi nadhani huyo shemeji yetu aliomba mchezo akanyimwa jaribu kufatilia kiundani.
Vijijini sikuizi kuna ngoma sana bora mjini..huwa nawashangaa sana watu wanaoagiza mke kutoka kijijini, vijijini wanafanya ngono zembe kwa kasi kuliko mijini na ukimwi ni kugusa tu acha kudanganya umma
Wewe ndio unafata mkumbo wa ubishi, tako la nyani ni gari luxury sana tu kulingana na bei yake, tatizo lake ni nyepesi zinapata ajari sana hasa kwa walevi, engine haina nguvu kiukweli inazidiwa kila kitu na vanguard ila ni nzuri kwa mwonekano na ndiomaana imeuza sana sio bongo tu harrier inauza...
Haha hapana bobu nchi za watu watu wako busy huwezi simamisha demu humjui kama bongo its either kazini au sehem za starehe au dating sites, ila sio tinder bongo maana utakutana na malaya tu.
Sijabisha kuhusu luxurious, crown ni luxury car ila harrier hiyo ni SUV maanake ni confortable kwaajili ya kubeba watu,mizigo na offroad. So kuzicompare hizi gari ni kosa kubwa inatakiwa ulinganishe bmw 320I na crown au benz c class na crown. Harrier linganisha na cluger au other SUV cars.
Huyu jamaa muongomuongo tu gari yenyewe kapewa test drive tu tayari anajifanya analijuaaa sasa utalinganisha vp saloon car na SUV offcoz saloon cars zilitengenezwa luxurious zaidi ya SUV lakini upande wa design tako la nyani ni zuri na heshima pia. Sasa speed120 ulikua unakimbilia wapi hatuko...
Anaonekana yuko vizuri basi ni vyema angefanya consultation na kampuni za utafiti wa madini watampa mawazo mazuri, pia afanye exploration na drilling apate uhakika wa mali iliyopo chini gharama za exploration na drilling sio chini ya 50mil so ajipange ila zitarudi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.