Mwanamke kama huyu namuwezaje?

Mwanamke kama huyu namuwezaje?

Sisi hatuwezi jua ndugu, mweke kwenye maombi ili roho wa Mungu akufunulie anachotaka kutoka kwako......
 
Unaombaje jibu kama unafuatilia mkopo wa benki. Kijana unaniangusha huyo binti hana shida wewe tu na mawenge yako.
 
Mwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana

Lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu kwa jinsi ninavyomuona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka kwake ndio maana mpaka leo na pambana kumpata

Huyu demu nikiomba mda wa kuongeya naye hakatahi kuongeya na mimi.

Na kila nikiongeya naye jibu lake ni kuwa ni mpe mda afikirie.

Ni Kimpa mda afikirie siku nyingine ni kiongeya naye ili kuomba jibu anaomba mda mwingine tena wa kufikiria
Yaani hiyo imekuwa too much kwake

Hivi ni njia hipi ninaweza kutumia kumpata demu kama huyu wenzangu na mimi

Maana kwa akili yangu nahisi demu tayari ameshakubali ila kuna kitu anahitaji kuona kutoka kwangu au kuna kitu nahitaji kuelewa kutoka kwake ili kuweka mambo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuita dem hata maji umnunulii ety ehh.
Nakwambia imekula kwako
 
Endelea kuongeya naye🤣
 
We muha eeeh au
 
Demu kama uyo jitahidi mazingira yawe faragha kidogo kusiwe na complication ya watu by then ukiwa unaongea nae make sure distance yako na yake ni ile ya anything can happen then katika kuongea kwenu jitahidi uwezavyo sometime umshike mikono yake halafu uwe unaipapasa fulani ila tu usizidishe mzee ni amaizing sana hawez kuruka kikubwa zaidi ni Confindence yako lazima awe fascinated
Mwamba huyu hapaaaaaa....afuate hapaaaa
 
Mwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana

Lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu kwa jinsi ninavyomuona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka kwake ndio maana mpaka leo na pambana kumpata

Huyu demu nikiomba mda wa kuongeya naye hakatahi kuongeya na mimi.

Na kila nikiongeya naye jibu lake ni kuwa ni mpe mda afikirie.

Ni Kimpa mda afikirie siku nyingine ni kiongeya naye ili kuomba jibu anaomba mda mwingine tena wa kufikiria
Yaani hiyo imekuwa too much kwake

Hivi ni njia hipi ninaweza kutumia kumpata demu kama huyu wenzangu na mimi

Maana kwa akili yangu nahisi demu tayari ameshakubali ila kuna kitu anahitaji kuona kutoka kwangu au kuna kitu nahitaji kuelewa kutoka kwake ili kuweka mambo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kudadeki kuna.mwamba anamkula wewe ni spare tyre
 
Ni kuongea sio kuongeya, huenda hicho ndo kinakukosesha utamu. Umemtongoza kwa muda gani kwanza ,tuanzie hapo.
 
Huyo huna haja ya kubembeleza mchukue siku moja mtoe sehemu mkale alafu mpige na vyombo vya kutosha na kwenye mazungumzo usiweke chochote cha mapenzi wala usielezee sana maisha yako mkimaliza kamata kuku yako kaitafune alaf kata mazoea utaona atakavyoanza kushoboka na ww hapo ndipo unampiga mkuyenge mpka anajuta alaf unatemana nae
Kamati ya wanaume imeanza kwa Kasi ya 5g mwaka huu
 
Fanya mambo mengine, mambo yake muachie mwenyewe..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom