Recent content by MABAGHEE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kijue kisiwa cha Ukerewe kwa undani. Kisiwa cha kifahari kilichopo pembezoni mwa jiji la Mwanza

    Asante kwa kuweka andiko kuhusu Kisiwani cha ukerewe. Lakini ungerekebisha kuhusu Aya inayosema 'Ukerewe ni Kisiwa' ambapo umesema ina visiwa 38 na Kisiwa kikubwa ni ukara na kwamba visiwa vingine 'havikariwi na watu'. Mm kwetu ni Kisiwa cha Irugwa na Kuna pia visiwa vya Lyegoba, Kulazu na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

    Aisee siasa za nchi zetu ni za kimaslahi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Mwanamke msomi anamheshimu mmewe na wanapanga mambo ya maendeleo pamoja. Hao munaowasema c wasomi maana hawajaelimika.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Padre Kanisa Katoliki, Privatus Karugendo afunga ndoa!

    Daraja la upadri huwa halifutiki ila kama padri aliacha kutoa huduma anaweza kuomba kibali kwa askofu wake na kwa Baba Mtakatifu aruhusiwe kuoa. Hata mashemasi wa kikatoliki huomba vibali ikitokea kuacha au kuachishwa kutoa huduma ya kichungaji.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo kugombea ubunge Afrika Mashariki

    Kitila ana uzee gani wakti 45 ndo anatimiza? Bunge linatakiwa like na watu wenye uelewa tofauti na hasa bunge la Africa mashariki ambalo wawakilishi wa nakwenda kutetea sera na maslahi ya nchi zao. Kwa hiyo wasomi wanaweza kutuwakilisha vizuri. Kwani ni Tanzania tu mbao wasomi huge ukiangalia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuhamia Dodoma kulivyovuruga ndoa yangu hadi najuta sasa

    Enyi watu ushauri wenu ni mzuri lakini una walakini. Mnashauri mke aache kazi ili aanzishiwe biashara. Hiyo biashara isipolipa iakuaje. Mme akifa ghafla familia itaendeshwaje. Wanandoa wanatakiwa wake na kujaddili na si kushinikiza mke aache kazi. Kwani biashara hazihamishiki?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wachungaji mnaofungisha ndoa ambazo mwanamke ana umri mkubwa kuliko mwanaume mnamkosea Mungu, tubuni

    Mkuu mtoa mada nafikiri tafsiri yako kuhusu andiko hilo si sahihi. Maana halisi ni kuwa hata mwanamke aliumbwa sawa na binadamu. Biblia iliandikwa kwa lugha ya kiyahudi na neno Adam (Adamah) ili maana ha mtu mme na Eva mtu mke. Kwa maana hiyo Mungu aliumba watu wanaume ana wanawake. Waliobobea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa aliewahi kumpenda sister

    Wewe mleta mada una utoto na ujinga. Sasa kama kakutumia picha za mapozi unatuambia ili iweje
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimempiga kibao sasa kazira hataki kula wala kuongea

    Mwambie aende kwao hasira zikiisha arudi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

    Bayango wapo na ukerewe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu wajitokeza Tabora kuupokea mwili wa Marehemu Sitta

    Sidhani kama issue ni chama. Issue ni wadhifa wa mtu. Sita alikuwa kiongozi mkuu wa moja ya mihimili ya dola (Bunge). Speaker ni mkubwa kuliko Waziri. NI sawa na Jaji Mkuu (Mkuu wa Mhimili mwingine wa dola-Mahakama).
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Naona watu wameshauri sana ingawa on the negative side. Dada piga magoti na mwombe Mungu akuonyeshe. Wakti mwingine hao wachepukaji wanafanyiwa madawa na hivyo ufahamu unawatoka. Fikiria watoto wako na kama bado unaumri mdogo jiulize ni vizuri kuwa na watoto wa baba tofauti tofauti? Nikushauri...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Binti wa Sengerema aliyepotea

    Wewe ndg nimekushangaa mgeni hata hujamjua vizuri unamkabidhi kulala na wtt? Uko sawa ww eti huna ubaguzi du. Unajua maana ya ubaguzi? Hiyo ni kukosa umakini. Hata kama angekuwa ni ndg yako toka kijijini wanao hawatakiwi kufanyiwa hivyo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Wewe Msalala kitendo ulichofanya si kizuri. Sasa kama umeishalipa kisasI kwa nini uendeleze kumtoa mwenzio miaka yote hiyo? Nafikiri yanatosha na muanze upya. Hakuna binadamu mkamilifu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Uongo ni dhambi. Prof Ndalichako hana upendeleo wowote. Mme wake mislay yeye mkatoliki. Tusubiri maboresho katika elimu.
Back
Top Bottom