Recent content by Mabadiliko Lazima

  1. M

    JamiiForums Tanzania CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    1998-2010 Security. Kati ya miaka hiyo sidhani kama alikuwa bado anafanya kazi BP, maana alikuwa akiishi uk miaka ya 2001-2004 na pia aliishi marekani hivyo CV yake inaficha ukweli fulani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    Si mbaya Sugu kuwa Mbunge bila ya kuwa na elimu ambayo wengi wetu tungependa awe nayo. Kutokusoma kwake kunaweza kuwa kumechangiwa na sababu zenye msingi tu, hivyo hajachelewa akijiendeleza sasa hivi. Na pia tunaweza kuwa tunayaongea haya yeye mwenyewe ameishaliona hilo kitambo na kujendeleza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    Nakuunga mkono Mkuu, Enzi za Mwalimu wasomi walikuwa si wengi hivyo katiba ikapendekeza kuwa unaweza kuwa mbunge kwa elimu hiyo ndogo tu. Sasa hivi nchi imekuwa na wasomi wengi, hivyo ni wakati muafaka kwa sheria hiyo kubadilika. Wabunge wana kazi kubwa sana kwenye maendeleo ya nchi yetu hivyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    hiyo siyo sababu ya msingi
  5. M

    JamiiForums Tanzania CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    Mbona yeye mwenyewe hajaandika??!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wana JF naomba ushauri wa kisheria....nilijilipua kirundi

    Mimi nimezaliwa Tanzania Dar Es Salaam, asili yangu ni Mkoa waKilimanjaro. Nimesomea na kukulia Dar,kwenye miaka ya 1998 nilienda chuo nchini Uingereza. Nikiwa nchini humo nilisoma nakufanikiwa kupata shahada ya kwanza 2002. Baada ya kumaliza masomo nikashawishika kuendelea kukaa nakufanya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi humu ndani

    Amani iwe kwenu wana JF. Nami nimejiunga baada ya kuvutiwa na mada, ushauri, maoni na mengineyo yaliyomo humu jamvini. Naomba nami niwe mmoja wenu.
Back
Top Bottom