Recent content by Maasai1

  1. Maasai1

    Pole Flora Mbasha siku zote katika Mfumo dume Mwanamke hana haki.

    Watumishi wa Mungu sio dunia hii tuishio binadamu, labda kwingineko. Lol! Never trust anybody in this world.
  2. Maasai1

    Nimesingiziwa mimba na mama Mkwe

    Its true that wonders does never end but not of that kind. Huyo bibi ana lake jambo. Kama alibakwa mbona hakutoa taarifa zozote? Huyo bibi mwongo wa kutupwa. Amezoea umalaya na ndio maana hajaolewa.
  3. Maasai1

    Nimesingiziwa mimba na mama Mkwe

    Kuna mawili, Moja Story inawezakuwa ya uongo ama ni kweli umehusika. Kama ni uongo subiri ajifungue mwende kwenye vipimo (DNA), Kama story ni ya kutunga, njanja giza na uongo wako
  4. Maasai1

    Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

    Maelezo yako hayatoshelezi kumpata mtoto wa jinsia unayotaka.
  5. Maasai1

    Mtoto wa mbunge anataka kuvunja ndoa yangu, nifanyaje jamani!

    Mjomba angalia na shekeli zako kama kweli zipo na siyo misifa tu. Siyo kila ukiona kichaka wataka kunya! Vichaka vingine vina wanyama wakali. Wahenga walinena "Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote".
  6. Maasai1

    Agizo la pinda "wapigwe tu" lazidi kutekelezwa.

    Pinda na Chama chake ni janga la kitaifa. Yawezekani kauli ya Pinda ya kusema "Wapigwe tu" ni sera ya ndani ya chama chao.
  7. Maasai1

    Wabunge wa CHADEMA washambulia jimbo la Hai, wafanya mikutano 10 kwa siku

    Weye nawe! Kuna mtu ameshikwa mkono akaandamane? Mwenye kuandamana ni anayejua haki zake. Kwishneiiiiii! Hujui haki zako waache wanaojua na ukae kimya.
  8. Maasai1

    Kumbe chadema imechuja kiasi hiki kigoma.

    CCM wanakusaidia nini? Elimu mnapata bure? Huduma za afya je? Unataka Chadema wakupe nini? Au mavazi? Inaonekana umezoea tisheti, kofia na kanga za bure. Chadema hatutoi hongo.
  9. Maasai1

    CHADEMA yashindwa vibaya Arusha

    Kwa mawazo yako unataka kutuambia kuwa hao watu 60,000 wangejitokeza kupiga kura sisiem ndo wangeshinda? Kwa taarifa yako ingekula kwao fulmazinonda. Sisiem si kitu kwa CDM Arusha. Ila mfa maji haachi kutapatapa.
  10. Maasai1

    Nani anaudanganya umma Mh Mbowe ama Chagonja?

    Wakuu na waunga mkono asilimia zote Chongoja ni mwongo na inaonesha dhahiri kuwa wanajua kuhusu mlipuko wa bomu n they are concerned. Peoples! Peoples! Chadema juu zaidi. Ccm chacha basi tumewachoka.
  11. Maasai1

    Mtoto aliye jeruhiwa na Bomu Afariki leo

    Sio kukemewa tu, bali kuteketezwa mazima its no longer a political party but a party where politician just join to accumulate wealth.
  12. Maasai1

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Je huu ni uungwana? Arusha yageuka Somalia. Bomu bomu bomu nani muhusika?
Back
Top Bottom