Recent content by Maarko

  1. Maarko

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Mercedes Benz B Class 180.

    Habari Wana jukwaa,naomba kujua sofa/uzuri/ubora pia madhaifu ya Benz B class 180 na 170,Asante Sana.
  2. Maarko

    JamiiForums Tanzania Hivi Chid Benz alikuwa analishwa nini huko sober?

    Chidi alisaidiwa na SOBER ipo? Maana sober zipo nyingi.
  3. Maarko

    JamiiForums Tanzania Polepole: wahuni wamevamia chama na wanataka kujimilikisha nchi mwaka 1995 walishindwa 2005 wakajaribu na 2015 walijaribu mkapa akazuia:

    Japo anayoysema ni kweli;lakini anasumbuliwa na MZIMU WA MWENDAZAKE
  4. Maarko

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Kuna kipindi walisema wakazi wa MSUMI wapo/wamejenga kwenye eneo la DDC!!! sijui sakata hilo liliishia wapi.
  5. Maarko

    JamiiForums Tanzania Nataka kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa: Mwenye taarifa jinsi ya kufika na gharama zake!

    Nenda tu mkuu . Udzungwa ni hifadhi ya Taifa yenye Wafanyakazi/wahudumu WAKARIMU PENGINE KULIKO HIFADHI ZOTE NCHINI.Nilitembelea hapo mwaka 2020. Nilipotembelea mwaka 2020 gharama nadhani ilikua kwenye Tsh 5900/ kwa Mtanzania sijuii kwa sasa kama Kuna mabadiliko.. Lakini waweza ingia kwenye...
  6. Maarko

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

    Halafu ya Moyoni mwake angeyasemea wapi? Waliompa nafasi ndio watajuta,maana lazima mtifuano upo. Wanamjua misimamo yake kwanini wampe nafasi wakati siyo Jimbo lake?
  7. Maarko

    JamiiForums Tanzania Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na kupotezwa?

    Zipo njia za wazi za Kisheria za kupambana na watu wa namna hiyo,hata kama nia yao ni njema ila ujue kuna vikundi vya kihuni vitaibuka,vitafanya hayohayo na tutaendelea kuamini ni vyombo husika kumbe wahuni tu. Hakuna sababu ya kushededea hili jambo ni baya sana.
  8. Maarko

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000

    Wao Trc walipendekeza nauli iwe sh ngapi? Ila walau wengefanya 45000 Dar-MAKUTUPORA,maana siyo Dodoma mjini ni mpaka Makutupora. Makutupora ni mbali kutoka Dodoma,ni karibu kabisa na kupanda mlima Saranda.
  9. Maarko

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kwa anayejua anipe elimu ya pombe Kali...kwa mfano.. WHISKEY:,inaanzia volume alcohol ngapi, GIN:inaanzia ngapi mpaka ngapi BRAND: inaanzia V ngapi mpaka ngapi... Na nyinginezo.
  10. Maarko

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Rushwa imesababisha Bandari ifanyiwe kinachofanyika

    Wanadamu wenye akili ndogo (Kama wewe) humshambulia mtu badala ya kushambulia HOJA. Unaleta vioja kwenye Mambo ya msingi badala ya kujibu HOJA.
  11. Maarko

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

    NAKUSHAURI HATA HUYO MWINGINE UKAMPIME DNA PIA,DUNIA INA MAAJABU MENGI,
  12. Maarko

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mechi saa ngapi leo?
Back
Top Bottom