Ndio ukweli sio kwamba aisaidii lolote uwongozi sio lele mama uwongozi nikipawa uwongozi ni mikakati uwongozi ni uvumilivu ukileta tamaa kwenye uwongozi unakwenda kuangamiza haki na ndoto zawaTanzania walio wengi
Ukweli Chadema wamekoswa msimamo sio leo hapana bali toka kuundwa chama hiki...
Angefanyaje yeye kwa moto km ule hakuwa nakizima moto wala njia mbadala kwani kuwa askari nikuweza kufanya na kufanikisha vile vyote visivyo wezekana duh tusitumie vibaya nguvu zawalinda amani wetu bana kwatukio km ilo uliitaji nae pia tuweze kumpoteza ama ulikua unamaana gani shida yako kuona...
Unapo ongelea mali za watu una maanisha nini? Na korosho nimali zawatu maana tulipo kuwa tunaelekea niubadilifu mchafu mtu awezi kutumia mda mwingi kuzalisha kitu alafu bado anyoywe kimasirahi naheshima kutoa jeshi kusomba ilo zao ajalitumia vibaya bali kwaulinzi zaidi wa mali zawatu kwamfano...
Siku zote utakapo jijengea dhana flani nilazima itimie namaisha yako ukiyafanya yanamna frani yatakua ivyo ivyo hayataweza penyeza kwenda kwenye muelekeo mwingine utaanzaje kudumisha agano la urafiki bora kwanamna yoyote haliyakuwa umejiweka active kwaajili yafikila nyingine haiwezekani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.