Recent content by maalon

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM kuwa Mkuu wa mkoa sijaelewa itifaki yake, maana kichama anaripoti kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa au Taifa?

    Mhhhh ni katibu Mkuu gani wa C.C.M.ni Mkuu wa Mkoa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

    Kule kwa wasonjo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Umejipangaje kuisherekea sikukuu pendwa ya valentine's day 2024

    Wengine tarehe hiyo ndiyo wanaanza mfungo wa kwaresima kati yao wengine wanapakwa majivu usoni kukumbushwa kuwa mwanadamu ni mavumbi na mavumbi atayarudia na wanaambiwa kufunga siku hiyo
  4. M

    JamiiForums Tanzania FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

    Hi simba namna gani huyo kocha mwishowe atawakimbia kwa kuogopa kuharibiwa cv yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mchezaji wa Simba Babacar Sarr ana historia ya ubakaji, udanganyifu na kukimbia mamlaka

    Sasa kama imejulikana yupo Tanzania mitaa ya Msimbazi si waje wamkamate
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Madeleka: Chato ndio Wilaya pekee nchini Tanzania ambayo ina Taa za Kuongoza Magari barabarani!

    Juzi nilikuwa natoka Singida kwenda Bariadi niliona taa za kuongozea magari pale Igunga mjini na Maswa mjini kwa Nzega mjini sijui maana tulipita barabara ya mzunguko
  7. M

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

    Humu tupo wakongwe wengi tu katika uwanja huo nimepiga haraiki ya miaka 20 ya TANU
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante kwa ushauri vitu gani hasa vya kufanya service
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari ni suzuki escudo automatic transmission gari hii niliisimamisha mwaka mzima kwa tatizo la gear zilikuwa zinaslip hivi karibuni nilitaka nilifufue gari hili na kabla ya kufungua gearbox nilikuta coil moja imekufa pia fuel pump ilikuwa imekufa baada ya kufanya replacement ya vitu hivyo gari...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako Simba vs Al Ahly

    0-0
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

    Mwisi Igunga[emoji4][emoji4]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simba iombeni radhi Ngome FC

    Mpira ni mchezo unaochezwa hadharani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Kizota haijawahi kuwa makao makuu ya CCM
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga, hivi familia ya Kinana ipo Tanzania?

    Mtemi wa Mwagala au vipi?[emoji28][emoji28][emoji28]
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi wa Kampuni ya N-Card: Taarifa inayosambaa kuhusu Yanga SC kuizidi Simba SC mapato ni Uwongo

    Pengine malengo ya kila timu yalikuwa tofauti timu moja ililenga kipato na timu nyingine ililenga kujaza uwanja
Back
Top Bottom