Recent content by M_tiler

  1. M_tiler

    JamiiForums Tanzania Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

    Umetumia lugha ngumu au ni mimi na kichwa changu, ama?
  2. M_tiler

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuihama Tanzania kwenda mbali zaidi kutafuta Maisha mazuri kupitia fani yangu ya ufundi tiles

    Nimekusoma, hiyo kweli mbinu ya kigaidi😁😁😁
  3. M_tiler

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuihama Tanzania kwenda mbali zaidi kutafuta Maisha mazuri kupitia fani yangu ya ufundi tiles

    Shukrani san kwa maneno ya busara sana mkuu, Vipi sites nzuri ambazo naweza kupata marafiki wa nje ni zipi? Nisaidie kunijuza kama unazifahamu.
  4. M_tiler

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuihama Tanzania kwenda mbali zaidi kutafuta Maisha mazuri kupitia fani yangu ya ufundi tiles

    Tz bado kuna shida sana, tena nje ya Miji hii ndio shida zaidi.
  5. M_tiler

    JamiiForums Tanzania Ni part time job ipi inanifaa?

    Mh..! Kwa eneo ulilopo na kwa muda huo, labda uanze kujifunza online jobs kama vile blogger, youtuber n.k inabidi uwe mvumilivu kwasababu huwez kuona matunda ndani ya wiki moja.
  6. M_tiler

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuihama Tanzania kwenda mbali zaidi kutafuta Maisha mazuri kupitia fani yangu ya ufundi tiles

    Habari za majukumu wanajukwaa? Naimani Mwaka huu umeanza vizuri na matarajio yangu kwenye mwaka huu ni lazima nitoke nje ya mipaka ya Tanzania kwa namna yoyote ile iwe isiwe. Kabla ya yote, Mimi nimehitimu shahada yangu ya Kwanza tangu. Waka 2019 ktk sekta ya Elimu (Masomo ya kufundishia ni...
  7. M_tiler

    JamiiForums Tanzania Serikali imemwita Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa nchini kupata kwa kina hoja za Shirika hilo zinazosambaa kupitia vyombo vya habari

    Sina hakika kama umetumia fikra zako vzr kuandika hii comment.
Back
Top Bottom