Serikali imemwita Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa nchini kupata kwa kina hoja za Shirika hilo zinazosambaa kupitia vyombo vya habari

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Serikali imemwita Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa nchini kupata kwa kina hoja za Shirika hilo zinazosambaa kupitia vyombo vya habari. Mwakilishi huyo amesisitiza kuwa WHO haijasema wala haina ushahidi wowote kuwa TZ kuna Ebola na itashirikiana na Serikali.

Aidha, katika mazungumzo hayo WHO imeafiki kuwa kama kuna mahitaji ya kupata taarifa zaidi kutoka Serikali ya Tanzania lazima utaratibu ulioanishwa katika miongozo ya taasisi hiyo na ambayo imeridhiwa na Serikali ifuatwe kikamilifu.

55A33975-FB79-48E2-86A0-E3698F2273E9.jpeg

655F83ED-DBA2-4A40-94D8-1E0D28E83A55.jpeg

BA9C81B5-421B-412A-9874-A461AF4A4881.jpeg

============================

Tanzania has summoned the local World Health Organization representative over the agency's statement on the weekend that the government had refused to share information on suspected Ebola cases, the government said on Tuesday.

"The government has summoned the representative of the World Health Organization in the country to seek in-depth details from the agency on reports circulating in the media," government spokesman Hassan Abbasi said on Twitter.
 
Hii serikali inaingia taaluma za watu!!

Huo ugonjwa ukilipuka tutarudi tena kuwapigia magoti watusaidie kuudhibiti, hivyo ni bora kutoa ushirikiano kuudhibiti kama kweli upo kuliko kuleta ubabe unaoweza kuja kutugharimu huko baadae.

Hata kama kweli hiyo Ebola leo haipo,kesho ikitukumba(japo hatuombei) tutakimbilia wapi maana haya magonjwa hayana mipaka.

Fikiri kabla ya kutenda.
 
dah! kazi ipo, kwann WHO wanaonesha kuwa na wasiwasi na matokeo ya uchunguz uliofnyw na tz?
 
Niliona habari hii jana BBC World nikaunganisha na Matamshi ya Kaguta Museveni kuhusu mahakama ya The Hague !

Sitaki kuweka siasa kwenye mambo ya afya na hasa ugonjwa hatari kama ebora ila hawa wenzetu wazungu huwa wanajua "wapi wakupige" na hapo ndipo "vichwa ngumu" kama JPM wanapoitajika, Wazungu si watu wema sana kama tunavyoaminishwa!
 
Tumia akili yako kufikiria siyo kila kitu kumlaumu Wazungu tu.
 
Niliona habari hii jana BBC World nikaunganisha na Matamshi ya Kaguta Museveni kuhusu mahakama ya The Hague !

Sitaki kuweka siasa kwenye mambo ya afya na hasa ugonjwa hatari kama ebora ila hawa wenzetu wazungu huwa wanajua "wapi wakupige" na hapo ndipo "vichwa ngumu" kama JPM wanapoitajika, Wazungu si watu wema sana kama tunavyoaminishwa!
Kwann unasema wazungu? Sema kuna binadamu si wema bila kujali ni mzungu au mweusi. Hujui kuna wazungu wametoa misaada binafsi Africa kuliko hata baadhi ya serikali? Hujui kuna watu weusi wanaiba nchini kwao na kuwekeza kwa wazungu?
 
Serikali imemwita Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa nchini kupata kwa kina hoja za Shirika hilo zinazosambaa kupitia vyombo vya habari. Mwakilishi huyo amesisitiza kuwa WHO haijasema wala haina ushahidi wowote kuwa TZ kuna Ebola na itashirikiana na Serikali.

Aidha, katika mazungumzo hayo WHO imeafiki kuwa kama kuna mahitaji ya kupata taarifa zaidi kutoka Serikali ya Tanzania lazima utaratibu ulioanishwa katika miongozo ya taasisi hiyo na ambayo imeridhiwa na Serikali ifuatwe kikamilifu.

============================

Tanzania has summoned the local World Health Organization representative over the agency's statement on the weekend that the government had refused to share information on suspected Ebola cases, the government said on Tuesday.

"The government has summoned the representative of the World Health Organization in the country to seek in-depth details from the agency on reports circulating in the media," government spokesman Hassan Abbasi said on Twitter.
Taarifa zilizopo ni kwamba WHO wanahusika katika kuwaletea wanadamu janga hili,na kwa rhetoric zilizokuwepo na ushabiki uliokuwepo kwamba Ebola imeingia Tanzania,inaelekea wanahusika pia na walikuwa wanajaribu kuingiza Ebola Tanzania.
ProfessorJohan Dongen,mwanasayansi wa Uholanzi,amesema wazi kwamba America, Belgium, Holland Germany, na the World Health Organization wanahusika katika kuleta janga hili. Amesema kwa miaka mingi wamejaribu kuficha ukweli huu.
 
Hii serikali inaingia taaluma za watu!!

Huo ugonjwa ukilipuka tutarudi tena kuwapigia magoti watusaidie kuudhibiti, hivyo ni bora kutoa ushirikiano kuudhibiti kama kweli upo kuliko kuleta ubabe unaoweza kuja kutugharimu huko baadae.

Hata kama kweli hiyo Ebola leo haipo,kesho ikitukumba(japo hatuombei) tutakimbilia wapi maana haya magonjwa hayana mipaka.

Fikiri kabla ya kutenda.
maswala ya afya ya binadamu yapo chini ya usimamizi wa wizara ya afya. Kama kuna sintofahamu kwenye afya mf mlipuko wa magonjwa,wizara ndo wanahusika. Hawa wazungu si watu wema. Hapo wanatafuta ajira,sehemu ya kuuza madawa yao,kupora,kuzuia wageni wasije kwetu n.k. Wataalam wa wizara wanatafuta ukweli wa kisayansi kama kweli kuna Ebola
 
Hii serikali inaingia taaluma za watu!!

Huo ugonjwa ukilipuka tutarudi tena kuwapigia magoti watusaidie kuudhibiti, hivyo ni bora kutoa ushirikiano kuudhibiti kama kweli upo kuliko kuleta ubabe unaoweza kuja kutugharimu huko baadae.

Hata kama kweli hiyo Ebola leo haipo,kesho ikitukumba (japo hatuombei) tutakimbilia wapi maana haya magonjwa hayana mipaka.

Fikiri kabla ya kutenda.
Sina hakika kama umetumia fikra zako vzr kuandika hii comment.
 
Hii serikali inaingia taaluma za watu!!
I am sorry for your followers, but have to utter 'these' directly to you !! " Huna jema kwa ajili ya nchi hii, Tanzania. Kama unalo husingeweza kukebehi juhudi za serikali kutaka kupata ufafanuzi kutoka WHO juu ya 'matamshi yao'. Kwanza tukuulize umeshiriki kwa namna gani na kwa kiasi gani katika maandalizi ya habari hizi za kukera kutoka WHO?? Maana kauli, tembea, muonekano, haiba, maandishi yako vinaashiria unajua mengi kuhusu kauli ya WHO"
 
Yeah were superior among superior powers in this damn plane,we don't fear any

Dude when Ebola hits then you will know whether we are or not. The issue must be dealt with in a transparent manner, it should not be treated with any secrecy, Afrika Magharibi waliumia sana kwa kuendesha kisiasa suala la kimatibu. I wonder kwanini wizara ya afya au CDC yetu haina sauti kwenye hili, hadi tunaona msemaji wa serikali, au tunasoma habari zetukupitia Reuters.
 
Back
Top Bottom