Recent content by M4c2015.

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Hiyo sensa ya wakristo kuwa wapo asilimia 65%na waislamu 30% ilifanyika lini??acha kupotosha na data zako feki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wassira ashindwa na mbinu zake chafu!!

    Huyo mzee mwaka huu hana chake!!asubiri kuteuliwa kuwa balozi may be kama mamvi akifanikiwa kupenya ngome ya UKAWA!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha CCM: Vigezo vya Mgombea wa Urais hivi hapa

    Tunashukuru Mzee tupa tupa kwa thread yako!!Cjaona ambaye anavaa viatu vyenye sifa hizo!
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM inapotea maboya,inafanya kosa kisiasa

    Mzee tupa tupa hivi Mamvi mbona haonekani bongo?kenda wapi tena??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Facts 13 kuhusu Lowassa na Uchaguzi 2015

    Haya tumekusikia we jamaa!Umetumia vema mgao uliopewa!!nani amchague fisadi EL!!hujielewi ww
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mzima - Lema

    Thanx kamanda kwa taarifa maana nilizipata hizo newz nikawa cjielewi kidogo!!Kama mko poa mungu ashukuriwe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Afya ya Lowassa Mgogoro: Akimbilia Ujerumani kwa matibabu

    EL ni kimeo!!huwa anakuja kumuona professor mukosi hapa muhimbili kwa usiri mkubwa!!Nilibahatika kuchungulia file lake nikakuta ana Hepatorenal syndrome yaani figo na Ini zimeshafeli kitambo!!Pia ana parkinsons Diseases!Akipewa nchi kila wiki hatakaa ofisini kwa complication za hayo matatizo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtaa (CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia ACT-Wazalendo

    Tupe chanzo cha uzi wako!!au na wewe umekurupuka usingizini ukawaza buku saba ukaamua kuandika
  9. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari wanajamvi!!Mimi ni Afisa tabibu(Clinical officer)niliyepangiwa Halmashauri ya sikonge tabora.!!nilikuwa na ombi la kutaka kubadilishana na mtu yeyote wa kutoka sehemu zifuatazo,MBINGA SONGEA,MOROGORO MANISPAA,IRINGA MANISPAA.kama una ndugu,rafiki au mtu yeyote unayemfahamu unaweza share...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    Cc yetu macho tu
Back
Top Bottom