Marwa Chacha
Senior Member
- Feb 5, 2015
- 102
- 51
Mbunge wa Bunda ambaye pia ni waziri wa kilimo na chakula Mhe Wasira.ameshindwa kwa mbinu zake chafu hii leo katika uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa mamlaka mji mdogo wa Bunda mbinu zake zakutaka mwenyekiti aachaguliwe kinguvu kutoka CCM.
Ambapo viongozi wa UKAWA walisimama na kupambana na mbinu hizo chafu.Nakufanya uchaguzi usifanyike hadi itakapo tangazwa tena.
Ambapo viongozi wa UKAWA walisimama na kupambana na mbinu hizo chafu.Nakufanya uchaguzi usifanyike hadi itakapo tangazwa tena.