Ni propaganda zisizo na maana zinazo lenga kuwatapeli watumishi.
Kulingana na lif𝕖 span unajuaje kwamba nitaishi miaka mingi kwa nini ujitie kihelehele cha kunitunzia pesa na hali wewe huna mawsiliano na Mungu anae nipa uhai?
kama kikokotoo ni kizuri kwa nini kimuathili mtumishi wa kawaida na...
Usihangaike kujenga agiza nje utapokea kwa bei poa .
Nyumba kama hiyo ukiagiza haiwezi kuvuka milioni kumi ikiwa full
ingia albaba utaona kuna kampuni nyingi sana wanauza nyumba kama hizo unaagiza na wewe una fanya installation tu.
kwa Dunia ya sasa nchi za wenzetu hayo ni mambo ya kawaida...
Umenena ukweli tupu kwa sababu unamkuta mwalimu wa chemistry anafundisha electrolysis lakini hajui hata kutengeneza battery kwa kutumia local mateals kama chumvi na electrode alizo nazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.