G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,556
- 8,422
Hua ni nzuri lakini kumbuka hizo kontena tu hapo ukizitaka hata sasa zitakula si chini ya milion 4 ilihali tofari zinaweza kua za 1.8 million mpaka 2 million kwa ukubwa wa vyumba atakao kua ameweka huyo mwenye makontena,hicho ndo kinacho tushinda,usije ukadhani anavyo vitumia wewe utavipata kwa maelfu tu hapana.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Habari zenu wadau, leo nimeona bora Nishee na nyie hii kitu, najua wengi wetu tumekua na ndoto za kuja kuishi kwenye nyumba au makazi yariyo bora, Japo ndoto hizi zimekua zikikatishwa na gharama kubwa zitokanazo na ujenzi.
Nimefikira sana kwa nini sisi waafrica tunapofikiria ujenzi wa nyumba zetu tunawaza kutumia tu tofali katika ujenzi wa nyumba zetu, wakati wenzetu katika nchi zilizo endelea wanatumia matirio kama mabati, contena, mbao, mawe katika ujenzi wa nyumba zao.
Hii nyumba jamaa katumia used contena na katoa kitu kizuri sana
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature