Recent content by M2baki

  1. M2baki

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fadhili Ngajilo achukua fomu ya ubunge Iringa Mjini kupitia CCM

    Amechukua mapema kwani zitaisha? Au ukichukua mapema fomu ndio ushakua mbunge...?
  2. M2baki

    JamiiForums Tanzania Je ni madhara gani yatatokea iwapo nitaezeka hili jengo pasi ya kufunga mkanda wa zege?

    Funga mkanda labda kama unataka kujenga jengo moja mara mbili.
  3. M2baki

    JamiiForums Tanzania Huduma benki ya NMB

    Jamaa wanakera sana.
  4. M2baki

    JamiiForums Tanzania Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

    Hakuna faida aipatayo mtu, akifa huku akiwa mwenye afya njema.
  5. M2baki

    JamiiForums Tanzania Philip Nele Nduguru: mchoraji katuni wa gazeti la Sani

    Kuna story zilitrend humo, tulizifuatilia kama movie vile, SHESHE LA WAJANJA na ANGA ZA WENYEWE.
  6. M2baki

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hii inapunguza gharama za ujenzi?

    Tofali 20,000. Inatakiwa uwe na muda kweli madarasa kumi hayo. Ukisimamia utapata tofali bora ila hutaokoa pesa. Na kama utaokoa pesa basi ni kiasi kidogo.
  7. M2baki

    JamiiForums Tanzania Hili ndio jibu la Aunt Ezekiel kuhusu yeye kuolewa na Kusah

    Ameongea kwa furaha taarifa inayomhuzunisha.
  8. M2baki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Odds kubwa ndio faida kubwa,and vice versa.
  9. M2baki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uhakika tena kwenye prediction.,unatoka wapi ndugu.
  10. M2baki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo tulia mkuu, ukithubu unaweza funika mapengo. Leo kumekaa kimkakati kwa wakamalia.
  11. M2baki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kanji anakenua. Agiza kret la bia na nyama 2kg. Inatosha kabisa.
  12. M2baki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😂😂😂Tuendelee kuchukua tahadhari, ikibidi hata sehemu isiyo na hatari.
  13. M2baki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nikuacha kubeti ili wewe ubaki mahela yako, na Kanji arudi kwa kina chakaraBOt
  14. M2baki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yah bado wapo analogy
Back
Top Bottom