Recent content by M2 wa wa2

  1. M

    Tazama CCM Wanavyoondoka Saa 4 Asubuhi Kwa 75%

    Saa nne mbali sana kaka, wataondoka October 25 saa 2:30 asubuhi.
  2. M

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Mtaishia ivyoivyo sisi tunaekea ikulu na Lowassa wetu.
  3. M

    Wanafunzi wa vyuo na mwaka huu kukosa haki ya kupiga kura

    Ndugu zangu wana JF, kitendo cha tume ya taifa ya uchaguzi NEC kupiga danadana zoezi la kujiandikisha kwa mkoa wa Daresalaam kimewanyima haki ya kupiga kura wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu vilivyopo mkoani hapa hususani wale ambao wanatoka mikoani kwani mikoa yote iliandikishwa wakati wao...
  4. M

    CCM Morogoro Kusini Rafu Tupu

    kweli kabisa maana hawa hajamaa ni hatari
  5. M

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Kila la kheri CHADEMA uko Kalenga
  6. M

    Naitaji kua mwanachama wa chadema

    Ndugu zangu wana JF sijawahi kua mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini kwa sasa nafsi yangu inaniambia napaswa kujiunga na CHADEMA na kinachonivutia ni namna ambavyo wanafanya maamuzi magumu bila kujali anaefayiwa maamuzi hayo ni nani na anacheogani mladitu anapaswa kuwajibishwa hii...
  7. M

    Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

    Baniani mbaya kiatu chake dawa. Ata aibu hawaoni ccm bana ovyoooooooooh!.
  8. M

    Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

    kaka sio kila mali inayomilikiwa na mtu mwenyejina la Lema ni ya Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini. Kwataarifa yako Lema hausiki hata chembe na Villapark night club ya kirumba Mwanza. Yule nilema mwingine kabisa ambae makazi yake siku zote ni Mwanza.
  9. M

    Baada ya FBI kutua nchini, sasa Redio Imani wakimbia kivuli chao, wahubiri amani

    Mleta mada asitake kutuaminisha ujinga anaouamini yeye minaisi kama vile anamatatizo ya kiakili sababu sijui anachotaka kusikia kwenye redio imaani ni nini wakiubili mabaya hataki wakiubili mazuri hataki pia basi aache kusikiliza kama hapendezwi nayo. Mbona kwaneena fm imechochea mauaji geita...
  10. M

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Butimba hakujawai kua shule na A-level ipo O-level pekeake na wanafunzi wa kwanzi ni sisi mwaka 1999 zaidi ya apo kunachuo cha ualimu kaka mbona tunadanganyana mchana kweupe.
  11. M

    Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    Saa8 nimnafiki mkubwa na muuaji wa chama. Hizi tuuma kwanini asizipeleke kwenye vikao vya chama analeta JF kwa kumfaidisha nani? ULAANIWE SAANANE NA UTAISHIA PABAYA KWAIZO FITINA ZAKO. Shame on you.
  12. M

    Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

    Zito Zuberi Kabwe ni moja kati ya viongozi ambao ni nguzo ya CHADEMA Nyie magamba mnaojifanya mnauchungu na chama wakati mmetumwa kuvuluga chama kwa kumpinga Zito mlaaniwe na mfie mbali.
  13. M

    Wabunge hawa wa CHADEMA ni janga kubwa

    HAO MAGAMBA hawamuwezi WENJE hata kidogo waulize wakazi wa ILEMELA na NYAMAGANA moto uliowashwa leo pale furahisha na waheshimiwa WENJE, KIWIA na VICENT NYERERE.
  14. M

    Wanaompinga wenje wamfanyia vurugu wakati akabidhi madawati

    Wenje atarudi kama kawaida tunampenda sana nyamagana hakuna cha ADC wala magamba msiwadanganye watu sisi tuko mwanza na hali tunaiona Wenje ni kifaa.
  15. M

    Ccm kuingia Arusha muda si mrefu

    Msiogope mbona kirumba Mwanza walichinja ng'ombe hamsini lakini wakapigwa chini.
Back
Top Bottom