Recent content by M.KABAKA

  1. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MIMI NI MWLIMU WAPRIMARY NIKO WILAYA YA IGUNGA (TABORA)NAHITAJI MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE ILA AWE ANATOKEA MKOA WA TANGA WILAYA IWE MUHEZA,KOROGWE AU HANDENI NAMBA YANGU NI 0686533270 au 0759753022 AKIPATIKANA ANIBIP TU NITAMPIGIA TUWE MAKIN JAMAN NA HAYA MAMBO WA2 TUNASHIDA SI MATANI
  2. M

    ipe tiv yako uhai free tv toka kenya

    Halafu mkuu kama ww unazipata kwkutumia mpg2 tuambie unapata ngapi kati ya hzo ulizotaja
  3. M

    ipe tiv yako uhai free tv toka kenya

    Mbona nakosa hizo chanelz kaka mm natumia rcv aina ya gulf star
  4. M

    ipe tiv yako uhai free tv toka kenya

    Mkuu tujulishe na ricva inayotakiwa ili kuzipata hizo chanels unazosema
  5. M

    Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

    kama unawafaham hao chumaulete mi naona dawa yao kama vip nikuwabwatukia live tu wenyewe wataona aibu
  6. M

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Dah aisee hiyo makitu haiishagi mi nishaipotezea kitambo
  7. M

    Boy who died, buried two years ago shows up

    Oh! my god I'm scared of this things haperning in this region
  8. M

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Kwahiyo nikimpa fundi anaweza akaiponesha? Kwamana naipenda halafu yenyewe kwa hiz local chanels za tz haisumbui ila ni zile za holizontal tu itv na ndugu zake pamoja na msumbiji huzipat kabisa kw vile kwangu ziko (v)
  9. M

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Wakuu mambo vipi?naomba msaada kuhusu hii ricva yangu ya gulfstar inakamata chanels zilzopo holizontal pekee (h)upande wa (v)haitak ukibadil mkaa inakamata za (v)holizontal zinagoma anaefaham huu ugonjwa anisaidie tafadhari
  10. M

    Hali ilivyokuwa Kenya leo

    Sasa solution itakuwaje hapo? Ukizingatia ndani ya hilo jengo kuna raia kibao wametekwa na hao jamaa.tuombe mungu tu awasaidie ndugu zetu wawaokoe wapendwa wao wakiwa salama salmin kwani inshu ni ngumu mno.
  11. M

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Wadau katka pitapita zangu kitaa nikakuta dish limefungwa ila nikashangaa kwamana pale inapokaa c band ya local channels za tz kumewekwa ku band sasa wadau kwa anayefaham atujuze jamaa anapata chanels gani pale kwa bahat mbaya aliefunga pale hakwepo kwahyo nikakosa wa kumuuliza.
  12. M

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Wadau niajeniaje? Hivi hakuna ujanjaujanja wowote ambao utakuwezesha kupata chanels za kenya for free kwakutumia mpg2 riciva au hiz riciva ndo haziwez kabisa,au hawa jamaa hawana fta chanels.
  13. M

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Thanks bro kwa ushauri wako haina noma tupo pamoja sana tuendelee kuelimishana juu ya haya mambo
  14. M

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Nilikuwa cfaham wadau je vip kuhusu citzentv nitaendelea kuipata au la kwa mana naipata ila cjabebanisha ku na c band nimeweka ku pekee kwhyo nina mpango wa kuzbebansha nahofia kuipoteza ctzentv kwan naipenda mno iko poa kinoma
Back
Top Bottom