Pole sana, parvo virus wako kwenye mazingira yako, kila mbwa mdogo utakaye mleta lazima aambukizwe. Virusi hao ni hatari sana hasa kwa mbwa wadogo, na wana uwezo wa kuishi ardhini kwa zaidi ya mwaka Mmoja. Mara nyingi mbwa akishaugua anakosa hamu ya kula, huarisha na kutapika, na hachukui zaidi...
Katika pita pita zangu kwenye maandiko matakatifu nilikutana na maneno Haya "Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana".
Isaya 66:17
Kama wewe ni Mcha Mungu, Nyama ya nguruwe Sio...
Kitabu cha maajabu,chabadili mtizamo wako wa maisha milele.
Jaribu kutafuta na kusoma STEP TO CHRIST au Ka-goole kwa tightle ,waweza kukisom mtandaoni.
Nimevutiwa na huduma zenu mnazotoa kwani mimi pia ni mdau wa muda mrefu katika masuala ya ufugaji.
Niko Tarime Mkoa wa Mara.Mnatufikiaje watu wa maeneo haya.
Namba yangu ya simu ni 0717400751.
E-mail: gillystrongest@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.