Recent content by m.alphonce

  1. M

    Waziri asema atahakikisha ongezeko la tozo kwenye miamala haliathiri mteja

    Natumia Airtel Money, sikatwi hata thumuni nikituma pesa, na mara zote nikitoa pesa ni nafuu sana.. Asante Airtel Money
  2. M

    Yah: Uyoga, Vipepeo na Midoli Bunge la Watanzania

    "haki ya kuona Bunge live". Na wapo watu wanaamini kweli haki kama hiyo ipo! Wanalilia "haki yetu kuona live". Ama neno "haki" lina maana au halina" MM, Neno haki ni pana sana. kuna watu wanadai haki ya kusoma bure? Wamepewa? Kulala mahali pazuri. Wanalala? Kula vizuri. Wanakula? unaweza...
  3. M

    Mambo sita yanayotushangaza WanaChadema wazalendo

    Hiv kwa miaka 20 ma zaid upinzania ulikuwa unapigania kumuondoa lowassa ccm..? na kwa sababu wamefanikiwa hilo hamna haja ya kuchukua dola... Kwa sababu umaskini wetu ummesababishwa na Lowassa?? Nadhan hata kama ukawa wamefanya makosa... Hatuwezi kuwakomoa kwa kuendeleza kufanya kosa lilelile
  4. M

    Operesheni Zinduka 3 - Kamari ya Mbowe na Lowassa yaweza kulipa kweli (Incl. transcript)

    Sasa naweza kuamini kwamba kosa kubwa ambalo CDM na ukawa wangeweza kufanya ni kumchagua Dr Slaa kuwa mgombea wao...
  5. M

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    MM.. Nyie mnasimamia wap? CCM? au mmesusia kura ya urais?
  6. M

    Damu ya MoU mikononi mwa Lowassa na damu ya Mwembechai mikononi mwa Sumaye, ni najisi kwa UKAWA

    Hiv JK ndio alitoa order Mwangosi apigwe bomu?? Common sense.. Watu wa aina hii ndio wanaomshushia heshima Ndugu ZZK
  7. M

    Swali la Ukorofi: Vigogo wa CHADEMA Wanaomuuza Lowassa Wakianguka Bunge Iweje?

    MM, what about vice-versa..?? Nin hatma ya Magufuli, Mwigulu, Makamba, Wasira, na wengine wengi baada ya uchaguzi with regards to the scenarios you have put?? Uchaguzi una matokeo ya kushinda au kushindwa.. ni vizuri vyama vyote vikajiandaa kwa hilo. Wachambuzi wa masuala ya siasa hawapaswi...
  8. M

    Swali la ugomvi: kina Warioba wametumia kiasi gani kuja na hii rasimu ?

    Yes inaweza kuwa haitokani na maoni ya wananchi kwa asilimia 100 but ule mchakato ulikuwa ni wa muhimu sana coz mind set, ya wananchi ni kuamini wametengeneza katika yao wenyewe na sio watu wachache. Hatuwezi watu million 42 wote tukaandika katiba lakin kutoa kile tunachofikiri ni sawa ni muhimu.
  9. M

    Maprofesa UDSM Wanyimwa Mkataba wa Kazi

    Ndugu zangu, Kwanza nianze kwa kusema, "Tuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wa ajira za vyuo vikuu vyetu hapa nchini. Mimi kama mdau wa elimu naangalia haya matatizo kwa sehemu zifuatazo Mosi, Kwa upande wa UDSM & SUA (to be specific...) Hivi vyuo havikutoa ajira kwa wakufunzi kwa kipindi...
  10. M

    Dk Kitila Mkumbo: Vijana wa BAVICHA wanahitaji kufundwa!

    Kama mwandishi wa makala anakubaliana na dhana kwamba maneno na shutuma zinazotolewa na Shibu-da zinaanza kuleta uharibifu kwa chama kwenye public. Naamin ilikuwa busara kwa chadema kujibu kabla ya sumu haijaendelea kusambaa. Sioni tatizo juu ya tamko la Mwenyekiti wa Bavicha, it was a right...
  11. M

    Zitto, Kafulila, Kitila Mkumbo, Hussein Bashe na akina Ben Saanane waweza Kuanzisha chama kingine?

    Hiyo ilikuwa ni wakati kumtafuta mgombea wa raisi ndan ya chama, so campaing na challenges kama hizo huwa zipo. Hata hapa kwetu vyama vinapotafuta mgombea kuna kuwa na makundi ndan ya vyama. Na hizo argument alizotoa joe biden ni challenges za maana sio kama hapa kwetu, watu wanaanza kuhoji...
  12. M

    Tamko la CHADEMA kuhusu Mafuriko lililotolewa na Dr. Slaa leo

    Hivi CDM wakileta helcopter kurescue wahanga wa mafuriko si ndio mtawaita wahaini kabisa kwa Kuingilia majukumu ya serikali? Think Big
  13. M

    Sitta ajitosa mgogoro wa Umeya Arusha

    Tutofautiane kwa hoja si mapanga.. Hii ndio demokrasia tunayotaka.. Tukianza kutosikilizana kisa itikadi zetu zimetofautiana tutakuwa tunajichimbia kaburi letu wenyewe. Tucheke na tunywe juice pamoja kudumisha Utanzania wetu.. But Hoja ya msingi ijadiliwe kwa maslahi ya taifa letu Think Big
  14. M

    CHADEMA wana tabia ya mtu mbinafsi

    Wangemtuma kandor au rpc kama ilikuwa rahic kutuliza hasira ya wananchi.. Think Big
Back
Top Bottom