Jamani sera ya nyumba za serikali mbona ipo wazi " Kujenga na Kuuza Nyumba kwa watumishi wa serikali" Target nyumba 10,000 na kwa sasa wana zaidi ya nyumba 2000 na zaidi wamejenga.
Ameshtukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa nyumba Za serikali maeneo ya Sida Estate na Mbezi Beach.
SIDA ESTATE
MBEZI BEACH (EX-NMC)
Mradi wa nyumba 1800 za Serikali Mabwepande
Unaonekana una below IQ, nchi zilizoendelea uzalendo namba moja, najua upo upande wa pili lakini appreciate pale mazuri yanafanyika.
TENA: kesho STRABAG wanaendelea na kazi kwa kuwa serikali imewalipa deni lao. Chukia tena nione.
Kwa kuwa Watanzania ni mabingwa wa kushangilia pale tu serikali inapotokea mambo kutokwenda vizuri, leo Serikali wamemulipa STRABAG deni alilokuwa anadai na kesho kazi zinaendelea kama kawaida.
Uzalendo ni kitu cha msingi sana, ionee huruma serikali yako pale inapojitahidi kukuletea maendeleo.
Sikubaliani kabisa na Pinda, nchi itaugua kufanduro tena, ataanza yale mambo yake " Serikali imeliona imelichukua tutalifanyia kazi" huwa sipendi maneno haya!
Hiyo team Lowassa ikiongozwa na Ocampo Four ilishashindwa na waje kwa hoja zenye mashiko na Ukweli bila hivyo wataaibika na kashfa zao Za kuokota mabarabarani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.