Dkt. Magufuli akagua ujenzi nyumba za Serikali

Dkt. Magufuli akagua ujenzi nyumba za Serikali

Lyong'o

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
68
Reaction score
33
Ameshtukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa nyumba Za serikali maeneo ya Sida Estate na Mbezi Beach.
IMG_3365.jpg
IMG_3336.JPG
SIDA ESTATE
​

IMG_3412.jpg
IMG_3470.JPG

IMG_3522.JPG
​
MBEZI BEACH (EX-NMC)

IMG_3545.JPG
IMG_3591.JPG
IMG_3615.JPG
IMG_3707.JPG
IMG_3720.JPG
IMG_3708.JPG
IMG_3773.JPG
IMG_4012.JPG
Mradi wa nyumba 1800 za Serikali Mabwepande​
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    466.2 KB · Views: 1,771
  • image.jpg
    image.jpg
    233.2 KB · Views: 1,641
  • image.jpg
    image.jpg
    318.2 KB · Views: 1,613
afutwe jina lake kwa kuanza kampeni mapema.....nilishasema, mtu akitangaza nia kama ni mtumishi wa umma, avuliwe nyadhifa zake awe yeye kama yeye...this is not a fare game.
 
Rais wa Tanzania Mh John Pombe Magufuli.................Hata haiji
 
Halafu zikamilike aziuze tena, bongo kwa maigizo tu tuko juu.

wapi magufuli aliuza nyumba? acha kashifa juzi, waliwawekea yu tubu ya maelezo ya sumaye namna mkapa alivyopitia kuuzwa kwa nyumba za serikali baada ya bunge kukata kutenga hera za matengenezo, na kama haukuiona tafuta kuriki kumkashimu mtu,
mtu anatumika watanzania nyie ni kumuandama tu,na kuwasapoti wale ambao utumishi wao wa miaka kenda serikalini hakuna wanachoweza kuonyesha ,hatufiki kwa namna hii,
 
watanzania bwana hatuwezi kufika popote mtu anayefanay kazi na kazi yake inaonekana ndo wanampiga vita na majungu ,lakini kuna watu wako serikalini tangu 1977 hakuna kitu wanachoweza kuonyesha kuwa wamewatumika wananchi ndo wanaonekana wana maana waafrika kweli tulibaka siasa tulikuwa bado ,
 
magufuli chapa kazi wenzako hawana cha kuonyesha wala kukagua bali wameweka mawakala wao humu kukashifi kazi zako,
tutakulipa 25,oct na kama wasipokupitisha utalipwa na mungu ,maana kila mtu atavuna alichopanda, lakini uchapa kazi wako watanzania wanauona kila kona ya nchi hii,
 
Itakua anafanya tathmini namna ya kuuza tena!

Watz hatujielewi maana tumelewa siasa kiasi cha kupotaza dira ,anayefanya kazi hatumtaki aliyekaa ofisini na kusoma magazeti tunamshangilia yaani its shame.
 
Back
Top Bottom