Wakati akichukua fomu Waziri Mkuu Pinda, aliongea na waandishi wa habari katika mazungumzo yake alisema "Simba mwenda pole ndiye mla nyama nono. Tazama hata mawaziri wangu wanavyofanya mazuri, alikuja (aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter) Muhongo akaondoka, mtazame (Waziri wa Ujenzi, Dk John) Magufuli, mkiwaona hawa jueni kiranja wao ni mimi," alisema. (Source: Mwananchi)
Waziri Mkuu hapa anataka kutuaminisha nini kwa mawaziri wake, kuwa yeye alkuwa msimamizi? si kweli huu wakati kila mtu atabeba mzigo wake, Pinda tafuta njia nyingine ya kutokea hapa umepotea.
Source by link:http://www.mwananchi.co.tz/habari/K...597296/2750234/-/item/2/-/18pju3/-/index.html

Last edited by a moderator: