Recent content by Lyne

  1. L

    JamiiForums Tanzania contribution of NGOs in assisting vulnerable children

    jamani aliyewahi kufanya research kuhusiana na iyo title tuwasiliane inbox
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    mama kikwete ana NGO's yake inahusika na wanawake wenye virusi vya ukimwi awa watu wanakuwa na vigezo vya kuingia chuo kama wengine ila wenyewe wanapewa mkopo asilimia mia na vyuo vyote tanzania wapo
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa:

    kiukweli una kurupuka kisa kulea mtoto kazi ndo muwe mnatuheshimu ata ivo nakuombea heri kutafuta uyo mke ningekuwa mm ndo wewe ningekuwa na subira sasa ivi utapata wa kukutesea mwanao
  4. L

    JamiiForums Tanzania Namuitaji mke wa mkataba

    maziiiiitooooooo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hill View Hotel ya Mbeya ni Mali ya Nani

    kweli kabisa haina hadhi ya five star ila jamaa kajitahidi
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka mitatu achomwa moto, kisha alazimishwa kula kinyesi chake (Majengo, jijini Mbeya)

    nimesikia uyu mtoto kaungua sana kwenye mkono imebidi mkono mmoja akatwe kesho nitaenda kumuona inaumiza
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

    niko tofauti mi niko mbeya ila c mzaliwa wa uku kiukweli wanawake wa mbeya wamejaliwa shepu hips na nyuma usiseme na asilimia kubwa wako ivo ila kwa sura kawaida sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kina dada mmezidi kuwa maji mara moja dah

    mapenzi uwazi jamani kuzungushana ilikuwa zamani mi ukinifuata nikakupenda nakubali kikubwa kupima ukimwi na kibaya wanaokubali wanaume wakati wapo kwenye mahusiano
  9. L

    JamiiForums Tanzania wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

    samahani kama nitakuudhi unasema hujapata mnaoendana na wao ujue wenye status kama yako wameona huwafai tatizo umekuwa mchaguaji sana ata ukitongoza wewe inaonyesha hamtadumu miaka 27 hujaona mtu alafu ukute elimu yenyewe degree tu sifa nyingi kwa ushauri tafuta mwanaume ambaye sio tegemezi yani...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Diet ya mdalasini, asali na limao inapunguza kilo ngapi kwa wiki?

    nashukuru sana kwa ushauri ngoja nipime uzito then nianze
  11. L

    JamiiForums Tanzania Diet ya mdalasini, asali na limao inapunguza kilo ngapi kwa wiki?

    rafiki zangu nisaidieni
  12. L

    JamiiForums Tanzania msaada wapendwa

    asanteni kwa mawazo uyu msichana nadhani anaitaji psychologist coz yupo confused jana kanambia yuko tayari kutafuta yoyote amuoe kiukweli mi nashindwa sasa
  13. L

    JamiiForums Tanzania msaada wapendwa

    rafiki zangu nashukuru kwa msaada wenu rafiki angu kwa sasa kaona asitoe mimba na anafuatilia ada anajaribu kuongea na uongozi wa chuo aone itakuwaje
  14. L

    JamiiForums Tanzania msaada wapendwa

    kiukweli yeye anakazania kwanza atoe mimba maana hajuiafanyaje mwanaume kaama na mkoa kiukweli kachanganyikiwa kikubwa ni ushauri kwao anashindwa kurudi na mimba nipo nae ninapokaa
Back
Top Bottom