msaada wapendwa

Lyne

Member
Jan 8, 2012
50
24
nina rafiki angu nasoma nae chuo ndo tunaingia mwaka wa tatu anatokea familia ya kawaida ila wazazi wake waliweza kumlipia ada mwaka wa kwanza then wakashindwa akapata mwanaume akamlipia ada mwaka wa pili juzi juzi kamtumia msg kuwa ameoa na hamtaki na uyu dada ana mimba changa mwanaume kamwambia ni zawadi yake hajui afanyaje ndoto zimepotea chuo kafungua ada hana mimba ndo iyo hajui kwa kuanzia na kwao sio mkoa anaosoma alibaki kwa mwanaume likizo akiwa anafanya field kwao walishamwambia aache chuo tangu ule mwaka wa kwanza bahati ndo akampata uyo mwanaume sasaivi afanyaje hana msaada anaitaji ushauri afanyaje na ambaye yupo tayari kumsaidia kwa chochote awasiliane na mimi pia anatamani kutoa iyo mimba je afanyaje
 
duuh kwanza asitoe mimba
wanaume jamani?mbona wanyama hivi?
amebakiza muda gani kumaliza chuo? kwao wakijipigapiga iyo hela haitoki kabisa?
 
mwambie amuombe jamaa pasa ya kumalizia masomo kama inawezekana, kwenye mimba sina cha kusema.
 
Kama yupo UDSM aende TAASISI YA GENDER watamsaidia sanaaa! Im sure ada atalipiwa yote na BOOM atapewa pia. Na hata mimba ikimsumbua chuoni katika COURSE WORKS na U.E watamsaidia apewe Special exams, na kufaulu. Asipuuze this i am sure of it 100% Najua CV yangu mimi LARA 1 sio ya kuridhisha wala kuaminika humu JF bt this SHIT is 100% SERIOUS N TRUE.

Back to my old me, hivi kwanini wanawake tunakuwa na HURUMA hivo? We utabebaje mimba bila makubaliano???? Afterall why gamble with your sexy shape?

NIMENUNA !!!! LOLEST!!!!!!!
 
duuuuh lara wewe hufanyagi?
 
Du Asante lara 1 kwa bonge la ushauri, nilikuwa nataka kuanza kumobilize JF women tumchangie amalize shule yake.

I hope huko ulikomwelekeza watamsaidia!
 
Last edited by a moderator:
duuuuh lara wewe hufanyagi?

Nafanya sanaaa, ila mimi nina KIJITI!!!! Mambo ya nyota kijani!!! LOLEST!!!!! Plus i always use CONDOMS for HIV protection, hata in my wallet haikosi JUST IN CASE nikiwa ZOMBIII kwa masaaa shetani akinipitia!!!!! LOLEST!!! Ukikaa sana JIJINI na ukiwa mtoto wa mjini, UTAZIKA wengi mpaka utaanza kujikinga!!!

TACAIDS, PSI,ICAP, UZAZI SALAMA mpooooooo! Mnipe zawadi kwa kufuata ushauri wenu!!! LOLEST!! NANI KANUNA?????
 
I know, na kwa maoni yangu tatizo kubwa ni Ada ya kumalizia shule. Thank God ushauri alioupata utaelekea kutatua root cause na si maneno matupu!
kweli LARA1 katoa neno jema!
 
Last edited by a moderator:
huyo binti nae sio mzima, toka lini ukabeba mimba ya buzi? Ndio buzi maana walikuwa wanafanya biashara binti anauza utamu bwana analipa ada.....

Sina ushauri zaidi alee tu.... Ingawa inasikitisha sana.....
Yaani badala ya kupunguza matatizo kaongeza matatizo
 
Nafanya sanaaa, ila mimi nina KIJITI!!!! Mambo ya nyota kijani!!! LOLEST!!!!! Plus i always use CONDOMS for HIV protection, hata in my wallet haikosi JUST IN CASE nikiwa ZOMBIII kwa masaaa shetani akinipitia!!!!! LOLEST!!! Ukikaa sana JIJINI na ukiwa mtoto wa mjini, UTAZIKA wengi mpaka utaanza kujikinga!!!

TACAIDS, PSI,ICAP, UZAZI SALAMA mpooooooo! Mnipe zawadi kwa kufuata ushauri wenu!!! LOLEST!! NANI KANUNA?????
khaa upo juu, ila all in all tulizana shosti
 
kiukweli yeye anakazania kwanza atoe mimba maana hajuiafanyaje mwanaume kaama na mkoa kiukweli kachanganyikiwa kikubwa ni ushauri kwao anashindwa kurudi na mimba nipo nae ninapokaa
 
Du Asante lara 1 kwa bonge la ushauri, nilikuwa nataka kuanza kumobilize JF women tumchangie amalize shule yake.

I hope huko ulikomwelekeza watamsaidia!

Watamsaidiaa! Ila ndo aache KUVAMIA JIJI, jiji lina wenyewe, hata wasipomsaidia aje humu nitamuelekeza kwingine kama kwa WAMA kwa first lady, UTU MWANAMKE, AFSAT, misaada ipo mingi aongee vizuri tu na sie watoto wa mujini tumuelekeze ramani ya jiji! Na sio anaendaa tu huko nilikomtajia, ani PM nimuelekeze pa kuanzia. Ila GENDER aendee tu atasaidiwa coz, wana HELA SANAAA mpaka zinabakigi hakuna wakusaidiwa.
 
nionyeshe jiji basi na mimi dear
 
huyo binti nae sio mzima, toka lini ukabeba mimba ya buzi? Ndio buzi maana walikuwa wanafanya biashara binti anauza utamu bwana analipa ada.....

Sina ushauri zaidi alee tu.... Ingawa inasikitisha sana.....
Yaani badala ya kupunguza matatizo kaongeza matatizo
tatizo lishatokea sio muda wa kulaumu .ni muda wa kusolve mama loh
 
kiukweli yeye anakazania kwanza atoe mimba maana hajuiafanyaje mwanaume kaama na mkoa kiukweli kachanganyikiwa kikubwa ni ushauri kwao anashindwa kurudi na mimba nipo nae ninapokaa

Kumbe shida kubwa ni mimba? Kwanini alibeba kama anajua kwao ni tatizo!

Mwambie kama anataka kuishi na guilty maisha yake yote aitoe!

Kama anataka kurisk kizazi chake akaitoe!

Kama anataka kujiweka kwenye kundi la wauaji akaitoe!
 
kiukweli yeye anakazania kwanza atoe mimba maana hajuiafanyaje mwanaume kaama na mkoa kiukweli kachanganyikiwa kikubwa ni ushauri kwao anashindwa kurudi na mimba nipo nae ninapokaa

Weweeeee ATAHARIBU ISHU!!!! MIMBA NDO DILI LENYEWE HILO!!!! Ukiwaa maskini, UTASAIDIWA KIDOGO, ukiwa MASKINI MWENYE MIMBA ISIO NA BABA, BAAAAAS! USHASAIDIWA!!!!! Huko kote bila mimba HAPATI KITU. Sababu kubwa ya kusaidiwa huko ni ili ASIJIUZE NA MIMBA!!! Sasa kama hana mimba basi ajiuze apate ada!! Acheni kabisa habari ya kutoa mimbaaa, KILA MTOTO ANAKUJA NA RIZIKI YAKE!!!! Bila mimba kumpata, ungekuja kuandika humu, ukanikiuta LARA 1 nikakuelekeza wanakosaidia mabinti wasio na uwezo??? RIZIKI YA MIMBA HIII.
 
ahahaaa upo wapi dear nikupe hata glass ya maji
 
Back
Top Bottom