Recent content by Lyatuu the Great

  1. Lyatuu the Great

    Sheria ya Uchaguzi ni mbovu! Kuendelea kuitumia sio Ujinga? Kuwabebesha masikini gharama za Uchaguzi sio Dhambi?

    Nimetafakari sana tukio la mwanafunzi wa elimu ya juu kupigwa risasi na kuuwawa kwa bahati mbaya wakati wa kuzuia maandamano ya wafuasi wa chadema jana kinondoni naona kuna haja sasa ya wabunge wetu tuliowachagua kwenye uchaguzi mkuu uliopita kupeleka mswada bungeni wa mabadiliko ya sheria ya...
  2. Lyatuu the Great

    Mungu nisaidie niridhike na hali yangu nisikufuru nikakutend dhambi

    Huyu kijana alikuwa anaomba barabarani kwenye foleni za magari. Alipolisogelea gari la huyo mama ili kuomba msaada akakuta anayemuomba anamatatizo makubwa kuliko yeye huyo mama anapumulia mashine ya oxygen kijana alilia sana na kujiona kumbe yeye anahali nzuri sana. Eeehh Mungu wangu nashukuru...
  3. Lyatuu the Great

    I need a boyfriend

    Ni pm tuyajenge ila uwe na mkia wa kueleweka nyuma maana huo ndio ugonjwa wangu
  4. Lyatuu the Great

    I need a boyfriend

    Na mvua hizi huku baridi kali dar mama njoo pm tuyajenge yakwetu fasta.
  5. Lyatuu the Great

    Matumizi madogo madogo kwa mpenzi wako

    Kugeuzwa baba mzazi kuhudumia mwanamke ndipo niliposhidwa nikakaa pembeni kwa sasa nimempata mwanamke mwenye kazi yake hana usumbufu wowote tena hata mkitoka wakati mwingine unataka kulipa bill analazimisha alipe yeye. Lo hawa ndio wanawake wazuri sio mwanamke anakuomba hela ya pedi,mara...
  6. Lyatuu the Great

    Nyimbo 10 bora za kuwasindikiza mnapokuwa faraghani

    Kwa ujumbe huu unaonekna utakuwa mtamu haswaa ushantamanisha [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  7. Lyatuu the Great

    Ramani ya frem yenye ghrofora moja

    Msaada kwa mwenye ramani soft copy au picha ya ghorofa moja ambayo chini ni frem za maduka na juu ni matumizi mengine anitumie kwenye email yangu lyatuujudicate84@gmail.com.
  8. Lyatuu the Great

    Nimejiandaa kwa vimbwanga vyake wakati wa ujauzito wake

    Bado utoto unakusumbua ukikua utaacha
  9. Lyatuu the Great

    Anatafuta kazi ya kuuza duka.

    Kama anataka house girl ni pm nahitaji
  10. Lyatuu the Great

    House4Rent Njoo chukua ofisi fasta upige kazi acha kulalamika hovyo....!

    Ungeweka picha ingesaidia wateja kuvutiwa zaidi mkuu
  11. Lyatuu the Great

    Anataka nimpe mimba azae na mimi ila ni mkubwa kwangu

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kuna watu mnamajibu humu. Mh
  12. Lyatuu the Great

    Heri ya christmas na Mwaka mpya.

    Kwa niaba ya kampuni yangu Lyatuu Company Limited inayohusika na uagizaji wa magari nje ya nchi,uuzaji wa magari ndani na nje ya nchi na ununuaji wa magari ndani na nje ya nchi tunapenda kuwatakia wateja wetu wote heri ya christimas na mwaka mpya. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu mliotupatia kwa...
Back
Top Bottom