Lyatuu the Great
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 212
- 85
Kwa niaba ya kampuni yangu Lyatuu Company Limited inayohusika na uagizaji wa magari nje ya nchi,uuzaji wa magari ndani na nje ya nchi na ununuaji wa magari ndani na nje ya nchi tunapenda kuwatakia wateja wetu wote heri ya christimas na mwaka mpya.
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu mliotupatia kwa mwaka 2016 na tunaahidi kuboresha huduma zetu zaidi kwa mwaka 2017 na kuwaletea magari mazuri zaidi na yenye ubora zaidi asanteni sana. CEO LYATUU COMPANY LIMITED.