Recent content by lyanyungu

  1. L

    JamiiForums Tanzania ITV yatumia picha za mnato kwa Zitto

    I TV ni chombo huru, huwezi kuwashurutisha watoe habari kama mnavyotaka, Tanzania kuna vyombo vingi sana vya habari, kwanini kila siku humu jf wanaandamwa sana? hivi Mengi kumiliki media imekuwa shida? achani roho za chuki, mbona hizo video za vituo vingine hamjazileta hapa. mnakuwa kama mashoga...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu "Kwanini tusilime bangi badala ya korosho?"

    mtoa maada ni Kama anatania vile, lkn wazo la linaweza kuinufaisha nchi tukaachana kabisa na kutegemea misaada, ujue kuna majimbo kadhaa marekani ganja imeruhusiwa, so tunaweza kuwauuzia tukapata dolari kibao
  3. L

    JamiiForums Tanzania Niliaibika nilipoambiwa nifungue kwa sala kwa Kiingereza mkutanoni Ughaibuni

    mi nimepewa nusu sura ya 1wafalme 2 nikasome mbele ya madhabuhi leo baadae, nimepagawa sijawai kupanda mbele za watu nikatoa neno , na hii ni kiswahili, je ingekuwa kizungu ingekuwaje?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    mi naona kama mnatumiwa kuharibu biashara za watu, mbona coca imeanza kunywewa miaka mingi sana kabla hata wengi wenu hamjazaliwa, hizi kelele za coca inakuaje kila siku? au nyinyie ni azam group?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Polisi: Huyu mama askari wa usalama barabarani ni nani? Jana alikuwa Mbewe akikusanya pesa kwa nguvu

    Ila mtoto mzuri ona midomo, sura soft hajajichubua. yaani faini natoa namchezo naomba mpaka kieleweke
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

    Ila kama tungekuwa tunarudi tena duniani baada ya kufa, angalau tukaja kuweka sawa mambo japo kwa muda was angalau miaka miwili tu, nadhani mheshimiwa komba angetuomba radhi watanganyika wote akiwemo na mzee Warioba. Maana changamoto anazopata ktk mitandao ya kijamii ni soo aliwakera wa tz...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wasanii wengi kushabikia CCM,inaashiria nini?

    Pesa zao wanazipata kisanii ndio maana wameamua kujiunga na chama cha wasanii, wanapiga mkwanja siku zinasonga, ila mi binafsi 5000 yangu ya cd hawatakuja kuipata mwaisha mwangu
  8. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Ina maana urais ndio basi tena? r i p captain na bunge la katiba bado linakuhitaji
  9. L

    JamiiForums Tanzania Na ww sema yako

    Namalizia kukata polisi tu, kona hawa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Na ww sema yako

    Mme hakika sana chekesha
  11. L

    JamiiForums Tanzania Seheme Nzuri Dar ambapo unaweza kupumzika na kupunga upepo

    Njoo hapa coco beach juu kabisa karibu na police officers mess, mi mwenyewe huwa nakuja hapa na bible yangu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba kanipa siku mbili tu, la sivyo...

    Kwa jinsi alivyoelezea inaonekana kweli ana matatizo, duuh roho inaniuma ningekuwa na uwezo japo hata 50,000 ningemchangia jamaa yetu, ila bahati mbaya hata mi nimetoka katika majanga mwezi hata haujaisha
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Treni za Juu Dar Es Salaam

    Siku ikitokea huo mujiza , ntacheka mpaka nife
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

    Pedejee Andrew chenge, pedejee rugemalila, pedejee Rostam Azizi
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania isiingizwe kwenye kitabu cha maajabu ya dunia?

    Nchi pekee yenye wasanii wenye nyimbo kali kama vile , the meremeta, the kagoda,the kiwira mine, the rada, the ndege ya raisi, the Richmond, the iptl, the majengo ya b.o.t, the epa, the balali, the ubalozi wa Italy, the tembo wetu,the twiga in an eroplan, the Mwangosi, the Ulimboka, the manager...
Back
Top Bottom