Recent content by lyaguchunya

  1. lyaguchunya

    Simu yangu imegoma internet

    Habari za jioni wakuu, Nimenunua simu kwa MTU kwa bahati mbaya nmejaribu kuaccess internet imegoma kabisa vile vimishale vya internet vinaonekana lakin akuna kitu simu ni Nokia G10. Naombeni maaada wenu..
  2. lyaguchunya

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kwa niaba ya wasomaji. Naomba tupate arosto yetu. Tunaumia brother INSIDER MAN
  3. lyaguchunya

    K Vant ilivyosababisha bosi wangu pisi kali anichukie mpaka leo

    Mi juzjuz tu apa. Kuna manz nlimuibukia. Akakubali fresh. Nkamwandaa usiku baada ya kutoka job twende seem tukadinyane. Akaniambia andaa chumba ukipata niite. Nkaatafta chumba. Skulipia nkamtafta aje. Piga namba ake bze. Kama dk 20 ivi yupo bze. Nkakancel mision nkasepa home. Nmekaribia home...
  4. lyaguchunya

    Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

    Ilinitokea miaka ya nyuma. Nlipata ajali nikazima yaan nikawekwa ICU kwa zaidi ya wiki. Wife alikabidhiwa simu. Na alikuwa anaijua pattern yangu. Kuja kuzinduka ndo napewa pole za ajali. Ni Kama wiki na Zaid ilipita. Nkaambiwa pikipiki ipo police na sim ina mke wako Mama J. Baada ya hpo sikuwa...
  5. lyaguchunya

    Natafuta freezer

    Nahitaji freezer lita 200-350 Iwe used au mpya Njoo tuelewane. Nipo simiyu
  6. lyaguchunya

    Mikopo ya "Kausha damu" yawakaba koo walimu Mbozi

    Kama unaanza watahitaji salary slip Bank statement Shahidi na Kadi yenyewe. Wanaanza na 50000 mpaka hata 3m. Inategemea na take home yako. Muda wa kumaliza deni ni mwez mpaka mwaka. Kopa kwa malengo Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  7. lyaguchunya

    Mikopo ya "Kausha damu" yawakaba koo walimu Mbozi

    Ni kampuni za mikopo. Dhamana ni kadi yako unayochukulia mshahara. Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  8. lyaguchunya

    Mikopo ya "Kausha damu" yawakaba koo walimu Mbozi

    Mimi huwa nakopa wale wa kuweka kadi ya benki. Wale Ni afadhari Kama unajitambua. Nimefanikisha Mambo mengi kupitia hawa jamaa wabarikiwe Sana. Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  9. lyaguchunya

    Tukutane hapa wenye magovi

    Najiamin Koni nalambwa Utamu napata 105% Sina record ya magono Nyeto nilipiga kwenye ujana wangu
  10. lyaguchunya

    Tukutane hapa wenye magovi

    Karibu nikuoneshe
  11. lyaguchunya

    Tukutane hapa wenye magovi

    Niambie Ni wapi pameandikwa kubaki na govi ni dhambi. Au ni lazima kutoa govi.
  12. lyaguchunya

    Tukutane hapa wenye magovi

    Katiba ikupeleke wapi
  13. lyaguchunya

    Tukutane hapa wenye magovi

    Ntakupasia wote. Kaz kwako
  14. lyaguchunya

    Tukutane hapa wenye magovi

    Afadhari. Hapa tuunde chama letu
Back
Top Bottom