Recent content by LUWINGO

  1. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    wakuu, naomba kufaham, ni mbinu gani UHAMIAJI wametumia ku - interview umati wote ule, na watatumia vigezo gani kuwapata 70 out of > 10,000?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hii Mikoa Nani Kailoga?

    Ee baba......! tunakuomba uwape macho na uwezo wa kuona na kuipa kipaumbele cha maendeleo mikoa yetu ya KUSINI, kwa uwepo wa GESI na MAKAA YA MAWE vitubadilishe kweli kimtazamo, kielimu na uchumi.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi la Maning Nice

    wakati MANING NICE inapoteza mwelekeo, ilikuww inapishana na basi nikiyopanda MACHINGA ya saa 5 kutoka mtwara-dar. HABARIKA; kulikuwa na mvua kali ikinyesha, dereva wa MACHINGA akajaribu ku'zichomokea' LORI 2 za mabomba ya GESI ambazo zilikuwa zinatokea upande wa lindi mjini kwenda upande wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya ndanda fc mtwara, ya tishaaaa.

    mji wa mtwara leo kuanzia alasili ulisimama ghafla na askari kutapakaa kila kona kwa jinsi wamande walivyoungana kuipokea NDANDA FC, timu iliyopanda daraja hadi PREMIER LEAGUE., duh.....! kwa umoja huu, MUNGU IBARIKI NDANDA FC.
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Official Azam FC Thread

    safiiiiiii sana ma official club. GOD LEAD AZAM FC TO CHAMPIONSHIP
  6. L

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa yai kama kifungua kinywa

    inafaa kula pekee au waweza changanya na vitafunwa vngne?
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni utundu wangu wakati wa kufanya mapenzi...au?

    asante kwa maoni. ilinichanganya sana tht's y nikaanza kuji-asses mwenyewe kama ninatatizo or mambo yyote yanayochangia hali hii. its' smtyms makes m in trouble.
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni utundu wangu wakati wa kufanya mapenzi...au?

    ninajaribu kwa nguvu zote kumwelekeza nami kuwa nae mbali bt inaonesha amejichanganya sana.
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni utundu wangu wakati wa kufanya mapenzi...au?

    habari, mm nimeanza kufanya mapenzi, nikiwa na miaka takribani 23. kila mwnamke niliyewahi kumpitia amekuwa akiniganda na kupenda kuendelea kufanya mapenzi na mm hata baada ya kolewa. nina tatizo gani? na nifanyeje.....?
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni utundu wakati wa kufanya mapenzi... au?

    habari, mm nimeanza kufanya mapenzi, nikiwa na miaka takribani 23. kila mwnamke niliyewahi kumpitia amekuwa akiniganda na kupenda kuendelea kufanya mapenzi na mm hata baada ya kolewa. nina tatizo gani? na nifanyeje.....?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Chopa ya chadema yapigwa marufuku kalenga.

    kama wana uwezo wazuie na mawakala wa CDM ili waibe vizuri.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

    mtangaza matokeo amekiri kuwa kawimbo ka- tunaimani n .....LOWASA....oya, oya, oya...... kweli........ kweli........kweli......... KAZURI KWELI KWELI.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane

    asante sana mkuu, bt umenimbia nitembelee manzese sehemu gani pale. lot of thnx
  14. L

    JamiiForums Tanzania Egypt wamegundua dawa ya ukimwi..?

    mh......! mi simo, wasije kukusukia walioshiriki kwake na kutoka bila-bila
  15. L

    JamiiForums Tanzania Egypt wamegundua dawa ya ukimwi..?

    jamani wataalam wa lugha hebu ingieni hii link tusaidiane kutafsiri. ww2.nationalpost.com/m/wp/blog.html?b=news.nationalpost.com/2014/02/28/egyptian-military-says-it-has-secretly-developed-the-cure-for-hiv-and-hepatitis-c-skepticism-ensues
Back
Top Bottom