Chadema ni chama makini kila mtu anakiri hata hao wazee wa ccm,mmemsikia, Kingunge akitoa yake jana. Huyo aje na kama atakuwa mnafiki Chadema watamjua mapema sana na kujua cha kufanya. Makeke ya Shibuda yako wapi? chezea CDM wewe!
Mpaka ifikapo October 2015,tutashuhudia mengi. CCM inajitahidi kujiokoa but ndio mwisho wake huo.Hata KANU Kenya was the same.Sikutegemea kijana kama Makamba anaweza kushauri upuuzi huo
Niko katika mahusiano ya kimapenzi kwa muda sasa mpaka kumchumbia huyu niliye naye na kuishi naye.Juzi kuna message ya kimapenzi imeingia kwenye simu yake.Cha kushangaza amekuwa mkali baada ya mimi kuishika simu yake kwa kigezo kwamba hamjui huyo mtumaji ila atamfuatilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.