Recent content by Luthar

  1. L

    Msaada wa fundi mzuri wa suzuki new model

    ni dada yako ninayempenda Sent from my SM-J510F using JamiiForums mobile app
  2. L

    Msaada wa fundi mzuri wa suzuki new model

    habari naomba msaada gari yangu suzuki escudo fundi alifanya overhall sasa baada ya hapo imekuea ni tatizo taa ya od ina blinkimg baada ya kutenbea umbali wa km 1 tu ni shida maana na nguvu inapungua na silence inaenda chini yani rpm inashuka chini gari inazima Sent from my SM-J510F using...
  3. L

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    HABARI VODACOM MIMI NAITWA GODWIN NIPO ARUSHA NAOMBA NIWAULIZE INACHUKUA MUDA GANI MTU KUPATA NAMBA ZA UWAKALA MAANA NINA MIAKA MITATU NAJAZA FORM NIMESHATOA KIASI CHA 10000 KAMA MARA TATU KWA AJILI YA MWANASHERIA KUSAIN LAKINI WAPI MPAKA NIMECHOKA
  4. L

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    mkuu suzuki escudo wastani wa mafuta 1litre inatakiwa itembe kl ngapi ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    Suzuki escudo inakula mafuta sana

    Naomba namba mkuu japo nipo arusha anisaidie mkuu
  6. L

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    pole sana ndugu mungu anaweza yote mtegemee yeye na usifanye kusudi la kuambukiza wengine du inauma lakini ndiyo hivyo kuwa jasiri usife moyo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    Habari ndugu zangu gari yangu inakula mafuta

    kuna hako ka sensor hapo nikikapachika huo waya wake gari inapandisha silence inaenda bila ku kanyaga mafuta nikitoa huo waya inakuwa sawa haiendi yenyewe mpaka ukanyage mafuta Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    Habari ndugu zangu gari yangu inakula mafuta

    gari ina cc 1590 boss Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    Habari ndugu zangu gari yangu inakula mafuta

    kiswahili ndugu yangu naweka mafuta ya elfu 10000 sawa na 4litre inaenda km 25 tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    Habari ndugu zangu gari yangu inakula mafuta

    Habari ndugu zangu gari yangu inakuala mafuta fundi anasema inatakiwa ibadilishwa plug maana kama ni nozel nimesafisha tayari lakin bado inatafuna suzuki escudo toleo 1992 1ltr km7 msaada Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Msaada ndugu zangu mwenye kuzijua suzuki escudo

    Hamna folen mkuu km2 lam . km3 raf road
Back
Top Bottom