Msaada ndugu zangu mwenye kuzijua suzuki escudo

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Suzuki escudo inakula mafuta kupitiliza 1lit kwa km 3.3 tu nikifanya kupita high way naweza kwenda km240 kwa 21lit tu lakin nyumban ni km5 kwenda na kurudi zinakuwa 10 hivyo nikiweka mafuta hizo 21lit natumia siku 5 tu ukipiga hesabu unajua mafuta yanaenda sana. Na pia kuna hicho kifaa hapo kimetolewa ukikichomeka gari silent inaongezeka sana msaada wandugu
20181115_125137_mh1542295881418.jpg
 
Attachments

  • 20181115_125137_mh1542295881418.jpg
    20181115_125137_mh1542295881418.jpg
    32.9 KB · Views: 104
Suzuki escudo inakula mafuta kupitiliza 1lit kwa km 3.3 tu nikifanya kupita high way naweza kwenda km240 kwa 21lit tu lakin nyumban ni km5 kwenda na kurudi zinakuwa 10 hivyo nikiweka mafuta hizo 21lit natumia siku 5 tu ukipiga hesabu unajua mafuta yanaenda sana. Na pia kuna hicho kifaa hapo kimetolewa ukikichomeka gari silent inaongezeka sana msaada wanduguView attachment 935427
Ungepeleka uzi kule JF garage nadhani ndio kwenyewe.
 
Suzuki escudo inakula mafuta kupitiliza 1lit kwa km 3.3 tu nikifanya kupita high way naweza kwenda km240 kwa 21lit tu lakin nyumban ni km5 kwenda na kurudi zinakuwa 10 hivyo nikiweka mafuta hizo 21lit natumia siku 5 tu ukipiga hesabu unajua mafuta yanaenda sana. Na pia kuna hicho kifaa hapo kimetolewa ukikichomeka gari silent inaongezeka sana msaada wandugu
 
Suzuki escudo inakula mafuta kupitiliza 1lit kwa km 3.3 tu nikifanya kupita high way naweza kwenda km240 kwa 21lit tu lakin nyumban ni km5 kwenda na kurudi zinakuwa 10 hivyo nikiweka mafuta hizo 21lit natumia siku 5 tu ukipiga hesabu unajua mafuta yanaenda sana. Na pia kuna hicho kifaa hapo kimetolewa ukikichomeka gari silent inaongezeka sana msaada wanduguView attachment 935427
Siku moja ni 10km mara siku tano, sawa na 50km. Mafuta 21L manake ni 50km/21L, kila km1 gari yako inabwia 2.3km/L. Je, njia unayotumia ina foleni kubwa? Hata hivyo mbona ratio ya highway ipo sawa tu 240km/21L sio mbaya, ni kama 11.4km/L

Peleka gari kwa wataalamu wakaangalie shida ilipo.
 
Hamna folen mkuu km2 lam . km3 raf road
 
mkuu kama unaweza kulimudu gari kwa consumption hii ni bora ujichange ununua crown majesta maana utafaidi confortability
 
Back
Top Bottom