Habari ndugu zangu gari yangu inakula mafuta

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
523
250
Habari ndugu zangu gari yangu inakuala mafuta fundi anasema inatakiwa ibadilishwa plug maana kama ni nozel nimesafisha tayari lakin bado inatafuna suzuki escudo toleo 1992 1ltr km7 msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,229
2,000
kiswahili ndugu yangu naweka mafuta ya elfu 10000 sawa na 4litre inaenda km 25 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika kama Suzuki za mwaka huo zina kitu kinaitwa MASS AIRFLOW SENSOR....a.k.a MAF....sensor hii hukaa kati ya throttle body na air cleaner..
Kama gari yako ina hii sensor ikague kwa kutumia mashine...sensor hii ikifa gari inaongeza consumption....
kwani sensor hii ndiyo inapima ni kiasi gani cha hewa kinatakiwa kiingie kwenye combustion chamber...

Kama hiyo sensor ni nzima basi anaza na zoezi rahisi la kuweka plugs mpya na genuine, air filter mpya pamoja na engine oil hasa 5w 30 au 5w 40...

Pia kagua mfumo wa exhaust kama uko vizuri...coz kama umeziba gari itakosa nguvu na kuongeza ulaji wa mafuta...ratio ya kinachoingia kwenye engine inatakiwa iwe sawa na kinachotoka

..ukifanya hayo usipoona mabadiliko itakuwa kuna jirani yako hakupenda kashaloga gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tazengwa

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
272
500

Uko vzr aise

kuna hako ka sensor hapo nikikapachika huo waya wake gari inapandisha silence inaenda bila ku kanyaga mafuta nikitoa huo waya inakuwa sawa haiendi yenyewe mpaka ukanyage mafuta
20181115_125137_mh1542295881418.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom