Recent content by lutelemla

  1. L

    Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

    Kama Tanzania ni moja, mbona kunawekwa percentage Si waache iwe free kila mtu mwenye sifa afanye interview na atakaeshinda apewe nafasi?
  2. L

    Wanajamvi, anayejua kwa undani mgogoro na mapigano yanayoendelea huko Sudani, naomba atueleweshe

    Du! Kumbe, Marekani si taifa zuri kwa kweli, wameshatuzingira, wanafanya hivyo ili kutekeleza malengo yao kuelekea NEW WORLD ORDER.
  3. L

    Wanajamvi, anayejua kwa undani mgogoro na mapigano yanayoendelea huko Sudani, naomba atueleweshe

    Kuna taarifa kuwa Kiongozi wa serikari ya Sudani ya kaskazini na naibu wake wametofautiana. Jambo ambalo limesababisha jeshi kugawanyika na kuanza kupigana wao kwa wao, je mzizi wa mgogoro huu ni nini? Mwenye data tafadhari.
  4. L

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    It seems that they have got some serious security information regarding the secret plans carried out by NATO and US on how to distabilize RUSSIA due to their silence after the hit of their command post in Ukraine.
  5. L

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  6. L

    Dark days 17/03/20

    Ok
  7. L

    Yanayojiri duniani baada ya Rais Alpha Conde wa Guinea kupinduliwa na jeshi

    Wanabodi, Tarehe 05/09/2021 Jumapili mchana, Mkuu wa vikosi maalum vya jeshi la wananchi wa Guinea, Lieuten Colonel Mamady Doumbouya alitangaza kutwaa madara ya uongozi wa nchi hiyo huku akimkamata na kumuweka kizuizini aliyekuwa Raisi wa nchi hiyo Bw. Alpha Conde. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  8. L

    Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

    Wanabodi Tarehe 05/09/2021 jumapili mchana, Mkuu wa vikosi maalum vya jeshi la wananchi wa Guinea, Lieuten Colonel Mamady Doumbouya alitangaza kutwaa madara ya uongozi wa nchi hiyo huku akimkamata na kumuweka kizuizini aliyekuwa raisi wa nchi hiyo Bw. Alpha Conde. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  9. L

    Natafuta mdada wa kuzaa naye

    Wewe nimekwambia uje kujihisi kuwa wewe ni kilaza kutokana na andiko langu?? Hii forum ya "Love connect" ipo kwa ajili ya mambo kama hayo nilioandika, walioandika codes kuunda hii forum walikuwa na akili na maana kubwa kuliko wewe ujue, Kilaza ni yule mtu anayetumia forum ya "love connect"...
  10. L

    Natafuta mdada wa kuzaa naye

    Toa ushauri sasa, kimbuka hata wewe kuna kuna jambo unafanya lakini kuna mtu anakuona kwamba unajidhalilisha. Nashukuru ujumbe umefika na tayari ninaendelea na mazungumzo na baadhi ya wahusika niliowalenga. Mkuu jitafakali sana aisee,, Yaani upo kwenye forum ya "LOVE CONNECT' Halafu unakosoa...
  11. L

    Natafuta mdada wa kuzaa naye

    Aisee! Nimechunguza kwa makini sana wanaonijibu kwa matusi na kejeli ni wanaume na si wanawake, nimewaza sana nikadhani kuwa huwenda ni "Mashoga" ila nafsi inakataa kuamini hilo, nmehitimisha kwa kuamini watu hawa wanaocomment kwa kutukana ni wajinga tu hawajui maana ya mijadala, unakuta mtu...
  12. L

    Natafuta mdada wa kuzaa naye

    Yaani andiko lote hujauelewa ujumbe uliomo na badala yake umeenda kushangaa typing error!!, Eeeh, aisee hii Elimu yetu ya kukaririshana mambo ya grammar, structure, uandishi wa report pindi tunapojiandaa kumaliza vyuo ni ujinga mtupu,, wasomi wa siku hizi ni mabingwa wa uandishi wa report lakini...
Back
Top Bottom