Recent content by lusupesa1

  1. lusupesa1

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kukabiliana na hali ngumu ya familia

    Unajua yupo Mungu asiye asiye shindwa asema tafteni ufalme was mbunguni mengine mtazindishiwa so tafta ufalme wa Mungu kwanza aman ikirejea Mungu atapeana biashara and work what u are suppose to do is let God do something in your heat first then other will come
  2. lusupesa1

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani nifuate nimpate Jini?

    Hakuna ulinzi zaidi ya Damu ya Yesu yenyewe INA nguvu name uwezo was kiprotect Mali zote ulizo na zo
  3. lusupesa1

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Wachaga avunjwa

    Huyo Mungu yuko gan jman
  4. lusupesa1

    JamiiForums Tanzania Kwanini niliamua kwenda kwa mganga

    Hello yupo Mungu asiye shindwa aweza kuku saidia
  5. lusupesa1

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa na roho ya ukatili

    Hata ukiwa mkatili huwez pata suluhisho ya yanayo kusibu lamsingi tafakar then chukua hatua ( damu ya Yesu yaweza kukuondolea yanayo kusibu) maana ni msaada Wa karibu jitahid utaweza kishinda
  6. lusupesa1

    JamiiForums Tanzania Nakumatt Supermarket Arusha yafungwa kwa sababu ya tishio la kigaidi

    IPO waz mpka sasa nimetoka apo mda huu
  7. lusupesa1

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Hallo hebu tusaidieni jinsi ya Ku download video kwa you tube
  8. lusupesa1

    JamiiForums Tanzania Mch. Antony Lusekelo na "shombo"

    Kitu kimoja nikwamba watu waache dhambi wamfate Yesu c lusekelo yeye anahubiri vya mwilin
  9. lusupesa1

    JamiiForums Tanzania Basi la kampuni ya Hood toka Arusha-Mbeya lapata ajali mbaya hapo Wilaya ya Mwanga

    Sorry for all who was in that axsident
Back
Top Bottom