PINDA atokwa na CHOZI LA FURAHA, haamini kama amepona kutoswa

Status
Not open for further replies.

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Hali hiyo imemtokea nje ya bune muda huu mara baada ya kuliahirisha bunge hadi january 27, 2015.
 
Weka picha mkuu tuone hilo chozi
pinda.jpg
 
Amerudia tena kulia?! Mrudisheni jengoni na kumbadilishia hukumu huenda atacheka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom