Nimepata hamu kubwa yakujua kilichopo nyuma ya pazia... Naomba Kwa yeyote aliye Na historia fupi ya hili tukio atuelezee,,, nikimaanisha
Tukio lilitokea lini?
Wapi Na akitokea au akielekea wapi Na kama alikotoka aliongozana Na yeyote
Nani alimpeleka kituo cha polisi kuchukua PF3 Na nikituo gani...
Jamani samahani, mim siyo mtaalam wa haya mambo yakifedha. Naomba mnieleze Kwa lugha rahisi kabsa,,, mfano kwenye account yangu Mimi Nina laki moja, nikitaka kutoa sh. 70000 nitakatwa sh. Ngapi? Na awali ilikuwaje?? Mfano benki ya CRDB,,, plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.