Mtumiaji wa mwisho siku zote ndio mlipa kodi

Bani Israel

JF-Expert Member
May 27, 2016
1,684
3,436
naona mabenk yameshaanza kutoa matangazo ya kupandisha garamaza kibenki hii inaonesha jinsi gani mtu wa mwisho anavyokandamizwa hata ile waliosema mawakala nimeshaona karatasi zinaonesha bei mpya elekezi

kwa hili tulipigwa changa nadhani baada ya kutuambia watakatwa mawakala ama benk mwisho tumepandishiwa wanyonge.

cb0feb51ad14d93bf827b3866c07385e.jpg
7dc03b4fd4814c429082419748fb8c83.jpg
81dc49c89ab6147e475c67929c34f758.jpg
 
Watanzania wanashangilia!
 
sasa tunakoelekea ni wapi sijui wanatupeleka enzi za ujima au ubepari maana tumechanganyikiwa kwahiyo hata kwenye mitandao ya simu nako kutapanda tukimbilie wapi sasa aisee hii nchi ni ya watu wa tabaka fulani
 
l

ladyfurahia, si nyinyi ndio washangiliaji mwanangu!
 
Safi saana safi sana mpaka tuheshimiane tu,Alhamdulillah vihela vya mbonga nnavyo sasa wale washangiliaji wa wamfalme nadhani mtaelewa baadae,tunapowaambia hali si hali mtaani mnaishia kutuita majina mtakayo,sasa heshima itarudi,
ngosha bonyezaaaa kabisa mpaka watu waombe pooo,eti anawakomoa matajiri na wewe hapo unashangilia,toka lini tajiri akaumia? yeye alipo ni mfanyabiashara anatafuta faida sio anatafuta rizki ya kula kama wewe unaeimba ccm mbele kwa mbele,
nadhani kama hamtaelewa kwa maneno yetu mtaelewa kwa vitendo
 
Jamani samahani, mim siyo mtaalam wa haya mambo yakifedha. Naomba mnieleze Kwa lugha rahisi kabsa,,, mfano kwenye account yangu Mimi Nina laki moja, nikitaka kutoa sh. 70000 nitakatwa sh. Ngapi? Na awali ilikuwaje?? Mfano benki ya CRDB,,, plz
 
Kitu tunachotakiwa kuelewa ni kwamba ongezeko hili ni katika Gharama za Miamala (Charges) na sio katika kiasi cha pesa kinachokuwa transacted. For instance, kama gharama ya kufanya transaction (muamala) katika ATM ni Tshs. 800, basi ongezeko la asilimia 18 will imply kwamba kiasi kitakachoongezeka kitakuwa Tshs. 800 x 0.18 = Tshs. 144.

Hivyo, kuanzia tarehe 01 Julai, 2016 ongezeko jipya litakuwa Tshs. 800 + 144 = Tshs. 944/=
 
This may create a subprime financial crisis especially when customers decide not to use banks
 
Kitu tunachotakiwa kuelewa ni kwamba ongezeko hili ni katika Gharama za Miamala (Charges) na sio katika kiasi cha pesa kinachokuwa transacted. For instance, kama gharama ya kufanya transaction (muamala) katika ATM ni Tshs. 800, basi ongezeko la asilimia 18 will imply kwamba kiasi kitakachoongezeka kitakuwa Tshs. 800 x 0.18 = Tshs. 144.

Hivyo, kuanzia tarehe 01 Julai, 2016 ongezeko jipya litakuwa Tshs. 800 + 144 = Tshs. 944/=
never understimate the power of ''Frequency''
 
Kitu tunachotakiwa kuelewa ni kwamba ongezeko hili ni katika Gharama za Miamala (Charges) na sio katika kiasi cha pesa kinachokuwa transacted. For instance, kama gharama ya kufanya transaction (muamala) katika ATM ni Tshs. 800, basi ongezeko la asilimia 18 will imply kwamba kiasi kitakachoongezeka kitakuwa Tshs. 800 x 0.18 = Tshs. 144.

Hivyo, kuanzia tarehe 01 Julai, 2016 ongezeko jipya litakuwa Tshs. 800 + 144 = Tshs. 944/=
bado hyo ni kubwa sana kwa kweli ktk muktadha wa kiuchumi
 
Back
Top Bottom