Recent content by lussu

  1. lussu

    JamiiForums Tanzania Jinsi Vimbunga/Dhoruba (Hurricanes/Storm) vinavyopewa Majina

    Huricane ni aina ya pepo ambayo huvuma kwa speed ya km ,60 kwa saa na hutokea katika mgandamizo mkubwa wa bahari ya pacific..ndo maana nikasema hutokana na aina ya upepo
  2. lussu

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi tunaomba utumbue jipu la upimaji viwanja Chasimba

    Ni kweli huu utaratibu huu mbovu
  3. lussu

    JamiiForums Tanzania Jinsi Vimbunga/Dhoruba (Hurricanes/Storm) vinavyopewa Majina

    Aina ya upepo na eneo ulikoanzia
  4. lussu

    JamiiForums Tanzania Hii taasisi ya wakala wa wakulima wadigo wa chai ikoje

    Ni taasisi inayojiendesha utadhani kampuni la mtu binafsi
  5. lussu

    JamiiForums Tanzania Hii taasisi ya wakala wa wakulima wadigo wa chai ikoje

    Taasisi zingine zinakawaida ya kupandisha mishahara yenyewe haifanya..maafisa ugavi wa elimu ya cheti mpaka leo wapo wanaendelea kulipwa mshahara chini ya laki tatu,,,,ni taasisi ya serikali lakini huruhusiwi kuhamia taasisi nyingine ya serikali...ukitaka kwenda shule wanakupangia ukasome...
  6. lussu

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ununuzi viwanja: TSh 20,000 ya fomu huwa inaenda wapi?

    Naifahamu hio kesi,,,mkurugenzi wa manispaa haruhusiwi kuchukua pesa ya form kuzidi idadi ya viwanja unavyovitangaza,,,kufanya hivo ni wizi na nikosa kisheria,,,,,walishinda kesi kwa kua halmashauri ili kusanya pesa nyingi zaidi ya idadi ya viwanja vinavyouzwa
  7. lussu

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ununuzi viwanja: TSh 20,000 ya fomu huwa inaenda wapi?

    Sheria hii ipo tangu mwaka 1999 ambayo ni land act..inamwamua mkurugenzi kutangaza watu kutuma maombi kwa land occupancy wote wenye nia ya kuchukua ardhi...na ukumbuke tofauti na sasa pale mwanzo ilikua haiuzwi kwa wananchi kama kilo za maharage kama ilivyo sasa maana sasa inauzwa kwa mita...
  8. lussu

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mtipweshi Msumbiji

    Haiwezi kuitwa survey,,,
  9. lussu

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ununuzi viwanja: TSh 20,000 ya fomu huwa inaenda wapi?

    Hii ipo kisheria,,,na hii hufanyika ili kutest seriouslyness of customer
  10. lussu

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Kuoa
  11. lussu

    JamiiForums Tanzania Kuishi na mwanamke yahitaji uvumilivu sana

    Piga chini usije ukaoa chura
  12. lussu

    JamiiForums Tanzania Geita: Mtoto afariki na wengine mahututi kwa kula sumu ya cynade wakidhani ni pipi

    Hakuna sumu kali kama sumu ya mamba
Back
Top Bottom