Dah itabidi nifanye ivi mana siwezi badilisha hii namba Iko kazini muda.... Ule utaratibu wa namba hii hii Ila mtandao mwingine sijui uliishia wapi ... Nitawahama kwa super sonic speed ..!
Mkuu line ya tigo ipo kwa tochi ... Na nimepiga Simu uko customer service wakasema makato ni sababu ya simulizi na hadithi .
Mimi sijawahi kujiunga Na hii mambo . Na nimeuliza hatua Za kujiunga ni hadi ujibu msg Yao ndo utapata iyo huduma.
Mbaya zaidi hata Izo SIMULIZI Na hadithi sijawahi...
Ndugu wanajamvi.
Mbarikiwe wote.
Tigo Tanzania sijapenda haya mambo yenu.
Leo nimenunua Salio katika tigo pesa ili nijiunge na huduma ya vifurushi. Mara gafla nashangaa naambiwa fedha yangu haitoshi kifurushi
Kucheki naona kweli Salio limekatwa. Ikabidi kupiga Simu huduma kwa wateja ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.