Pole sana kama ni kweli sasa swali langu ni je kama akitokea mtu serious Huyo uliyenaye utafanyaje naye?
Sent from my TECNO L6 using JamiiForums mobile app
Nashukuru sana ndg ikiwa unachosema ni kweli usijali wanao kupinga/kukutusi kwani watu hawa nilazima wawepo kwani hata leo watz wengi wanakufa,wanalemaa nk kutokana na dawa mbalimbali zinazoingia nchini zikipitia katika mikono ya watu tulio waamini na kuwapa dhamana leo tumekuwa nyani wa...
Inauma sana kuona mambo haya yakitokea leo ktk nchi yangu na naogopa sana na nahisi damu inanikimbia kwani wao husema hawa ukiwapiga shavu la kuume wanakupa na la kushoto lkn ktk kitabu chao hakuna mahali ambapo wapigwa na wasijibu mashambulizi ndio maana hata leo ni Ngumu kuwatoa kwenye nchi...
No brothers Deo is a man of his word and I news he will end up like this,coz unapoanza unakuwa unausoma mchezo na sasa kaka ameshauelewa vizuri na huu ndio msimamo wake.
Kimsingi ctofautiani na wachangiaji waliopita nakusihi jaribu kumsaidia na kamwe usionyeshe kunyanyapaa kiukweli kwa mtu niliepitia wakati mgumu kama huo ninajua jinsi gani anavyokosa amani moyoni mwake bt kama anakunywa pombe mwambie aache.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.