Recent content by lusanje

  1. lusanje

    Msanii huvaa aina ya mavazi kutokana na shughuli anayoifanya

    Mzee anafaidi kwakweli hata mimi ningehonga tu cheo maana hamna namna
  2. lusanje

    Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

    Unabaki kunenepeana tu kama kitimoto
  3. lusanje

    Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

    Hata uzima wake mashaka matupu mwili umebaki kama skrepa hauna kazi
  4. lusanje

    Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

    Kama ambavyo ccm imefanikiwa kua na kijiwe RC na Bakwata lakini imeshindwa kufanya KKKT kijiwe chake
  5. lusanje

    Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

    Word
  6. lusanje

    Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

    Hakuwa na dukuduku lolote alitishwa na Bashiri tu
  7. lusanje

    Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

    Waislamu wangekuwa washamtimua
  8. lusanje

    Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

    Huyajui mambo yetu ya ndani hivyo tulia kama mchuzi wa pweza
  9. lusanje

    Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

    Analalamikiwa sana eneo hili kwa mda mrefu
  10. lusanje

    Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

    Malasusa aliteleza kwa kutishwa na watawala sasa kama kiongozi wa Dini hutakiwa kuogopa kifo unatakiwa uwe na msimamo,haiwezekani Askofu mzima ukamuogope Bashite
  11. lusanje

    TLS tunajibu kisomi, tunakwenda kumchagua Lissu mwingine Arusha!

    Utaonaje wakati mliamua kukuiona mlichokifanya kwa kumpiga Risasi
  12. lusanje

    TLS tunajibu kisomi, tunakwenda kumchagua Lissu mwingine Arusha!

    Wewe ukipigwa Risas 38 utafanya nini?
  13. lusanje

    Upinzani sasa wagawana majukumu ya uchonganishi

    Jisemee mwenyewe usijumuishe watu wenye mitazamo tofauti na wewe
  14. lusanje

    Kimenuka Rukwa: Waislam watangaza kutokuwa na imani na Rais Magufuli kutokana na hujuma wanazofanyiwa

    Hata hii ikipita mtaongea hivyohivyo jinsi mlivyo vigeugeu na mazwazwa was kuburuzwa bila kuhoji
Back
Top Bottom